Wamasai Tanzania waandamana kuilaani Kenya kwa uchonganishi

MY TAKE: Hii ni kuthibitisha kwamba Kenya sio nchi rafiki na Tanzania. Kwa upande mwengine udhahifu wa serikali ya awamu ya SITA unajidhihirisha wazi kabisa kwa kushindwa kumuita balozi wa Kenya kutoa maelezo kufuatia matamko ya baadhi ya wanasiasa Kenya kuingilia Mambo ya ndani ya nchi.

Kitendo cha Spika la bunge la Tanzania kulichukulia kirahisi hili jambo kufuatia mbunge mmoja wa Tanzania kulizungumzia kwa ufasaha, pia Kuna onyesha ni jinsi gani hii mihimili mikuu jinsi ilivyodhahifu.

Tony254
Geza Ulole
The best 007
7seven

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Miaka yote Kenya , manyang'au, hawana nia njema na majirani zao.
 
Wakati mwingine serikali inaamshwa na Bunge! Adhimio lingeamsha a letter of protest toka MoFA! Badala yake huyu mpumbavu anaenda kupokewa ubalozini na balozi aliyetakiwa ku-issue statement to condemn the porking of Kenyan NGOs' noses in Tanzanian internal affairs. .

Hii yote nam-blame malaika wenu (utabisha) for dismantling a vibrant parliament! If he did not enterfere with the 2000 election process at least 40% would have been opposition and their stand is well known. Believe me the reaction would have been different.

Huyo unayemuita mpumbavu ni senetor wa Narok county ambayo ni county ya wamaasai. County ya Narok imepakana na nchi ya Tanzania kwa hivyo huyu senetor ana right ya kutoa maoni yake kwa jinsi serikali ya Tanzania inatumia nguvu kupita kiasi dhidi ya Wamaasai. Huyu senetor ni Mmaasai sasa unategemea akae kimya wakati mnapiga wamaasai kwa kisingizio kwamba ni mambo yenu ya ndani. Hata kama ni mambo yenu ya ndani, hamuruhusiwi kuvunja haki za kibaadam za watu wenu kwa kisingizio kwamba mnashughulika na mambo yenu ya ndani. Korti ya ICJ inawahusu nyinyi watu, subirini summons soon. Tuta-interfere na mambo yenu ya ndani kwa sababu sisi ni ndugu zenu wakubwa.

Cc joto la jiwe
 
Senator wa Tanzania au Kunyaland? Mbona ulikuwa unamlaumu Kagame na M23? Kwani eastern DRC anatetea interests za nani? Unafanya double standards sio?
 
Huyo unayemuita mpumbavu ni senetor wa Narok county ambayo ni county ya wamaasai. County ya Narok imepakana na nchi ya Tanzania kwa hivyo huyu senetor ana right ya kutoa maoni yake kwa jinsi serikali ya Tanzania inatumia nguvu kupita kiasi dhidi ya Wamaasai. Huyu senetor ni Mmaasai sasa unategemea akae kimya wakati mnapiga wamaasai kwa kisingizio kwamba ni mambo yenu ya ndani. Hata kama ni mambo yenu ya ndani, hamuruhusiwi kuvunja haki za kibaadam za watu wenu kwa kisingizio kwamba mnashughulika na mambo yenu ya ndani. Korti ya ICJ inawahusu nyinyi watu, subirini summons soon. Tuta-interfere na mambo yenu ya ndani kwa sababu sisi ni ndugu zenu wakubwa.

Cc joto la jiwe
Hahahaha, kwahiyo wakenya mlivyowapiga risasi Jaluo 2007 kwani Tanzania hakuna wajaluo?, Sasa wamaasai wenyewe wa Tanzania wameenda katika ubalozi wa Kenya kupinga Hilo tukio.

Hivi unajua jinsi ICJ inavyofanya kazi?, Kamwe haiwezi kusikiliza au kupokea mashitaka ya watu wasiohusika, ICJ watacheka tu kuwaona wakenya wanaishitaki Tanzania.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
MY TAKE: Hii ni kuthibitisha kwamba Kenya sio nchi rafiki na Tanzania. Kwa upande mwengine udhahifu wa serikali ya awamu ya SITA unajidhihirisha wazi kabisa kwa kushindwa kumuita balozi wa Kenya kutoa maelezo kufuatia matamko ya baadhi ya wanasiasa Kenya kuingilia Mambo ya ndani ya nchi.

Kitendo cha Spika la bunge la Tanzania kulichukulia kirahisi hili jambo kufuatia mbunge mmoja wa Tanzania kulizungumzia kwa ufasaha, pia Kuna onyesha ni jinsi gani hii mihimili mikuu jinsi ilivyodhahifu.

Tony254
Geza Ulole
The best 007
7seven

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe joto la jiwe ni zuzu kabisa inamaana ujui kuwa ccm inajaribu kujisafisha kipumbavu ...tutakuja kujuta tz kwa kuwa wanafiki mbwa kama hivi....hapa tz ccm aijawai kujali mazingira wala kitu chochote isipokuwa ufisadi tu ....nchi ipo kwenye wakati mbaya na mchafu kuliko nyakati zote katika historia ya tz ...sasa shangaa majuzi kikwete katokea kupinga mambo ya ajabu ya uchifu ...nyinyi mnafikiri ni nini kinaendelea ikulu ...huwa nasema siku zote kuwa nyinyi amjui huyu kiumbe tunaye sema ni rais wa tz ni kidudu mizi gani ....sasa kwa kifupi huyo ni mtu mwenye chuki na muungano ,chuki na watu weusi ,chuki na wazanzibar wasio na asili ya kiarabu ,chuki na ccm kwakuwa ndiyo ilipiga vita waarabu zanzibar ...huyo mama moyo wake upo katika itikadi za kundi la uhamsho la zanzibar
KWA SASA TEAM MSOGA NA TEAM ARABU ZIMEANZA KUKWALUZANA WAO KWA WAO SABABU KUNA VITU CHINI VINAFANYIKA VYA AJABU KULIKO MATAZAMIO YAO
 
Hahahaha, kwahiyo wakenya mlivyowapiga risasi Jaluo 2007 kwani Tanzania hakuna wajaluo?, Sasa wamaasai wenyewe wa Tanzania wameenda katika ubalozi wa Kenya kypinga Hilo tukio.

Hivi unajua jinsi ICJ inavyofanya kazi?, Kamwe haiwezi kusikiliza au kupokea mashitaka ya watu wasiohusika, ICJ watacheka tu kuwaona wakenya wanaishitaki Tanzania.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ccm ni mafii acha kuchezea mafi wewe
JamiiForums889357916.gif
 
Wewe joto la jiwe ni zuzu kabisa inamaana ujui kuwa ccm inajaribu kujisafisha kipumbavu ...tutakuja kujuta tz kwa kuwa wanafiki mbwa kama hivi....hapa tz ccm aijawai kujali mazingira wala kitu chochote isipokuwa ufisadi tu ....nchi ipo kwenye wakati mbaya na mchafu kuliko nyakati zote katika historia ya tz ...sasa shangaa majuzi kikwete katokea kupinga mambo ya ajabu ya uchifu ...nyinyi mnafikiri ni nini kinaendelea ikulu ...huwa nasema siku zote kuwa nyinyi amjui huyu kiumbe tunaye sema ni rais wa tz ni kidudu mizi gani ....sasa kwa kifupi huyo ni mtu mwenye chuki na muungano ,chuki na watu weusi ,chuki na wazanzibar wasio na asili ya kiarabu ,chuki na ccm kwakuwa ndiyo ilipiga vita waarabu zanzibar ...huyo mama moyo wake upo katika itikadi za kundi la uhamsho la zanzibar
KWA SASA TEAM MSOGA NA TEAM ARABU ZIMEANZA KUKWALUZANA WAO KWA WAO SABABU KUNA VITU CHINI VINAFANYIKA VYA AJABU KULIKO MATAZAMIO YAO
Kwahiyo wakisema wamasai upande wa Kenya kwako hao ni sawa, ila wakisema upande wa Tanzania ni vibaraka wa CCM?.

Sikiliza nikuambie, chuki zako na hasira zako dhidi ya CCM na Samia Suluhu usitake kumuambukiza kila mtu, kwako wewe kila linalofanywa Tanzania hukubaliani nalo kwasababu humpendi mama Samia au CCM, hilo ni tatizo lako Baki nalo mwenyewe.

Udhaifu na upole wa mama Samia Suluhu Haina uhusiano wowote na kuwachukia watu wa jamii fulani.

Hii tabia ya kumchafua kiongozi kwa kumshutumu kupendelea au kuchukia jamii Fulani, ni dalili ya watu wenye chembechembe za ukabila, ubinafsi na uwezo mdogo wa upeo na fikra.

Wewe bado mtoto mdogo ...nimekuambia kuwa ccm ni maviii lakini bado ujaelewa unaleta ushabiki mafii ya kuku hapa ....wazanzibar walio uliwa mamia na wengine kukimbilia kenya walikuwa siyo watanzania?[emoji849][emoji849]...mbona polisi aliye uliwa kwenye huo mgogoro wote walio funguliwa kesi ni raia wa tz wakiwemo madiwani na viongozi wa ccm ...sasa wewe mpuuzi niambie kwanini wamefunguliwa kesi watanzania wala si wakenya? Acha kabisa kutumia shit hole kufikiri ... Hapa kwangu umekutana na kisiki cha mpingo hakuna hanithi wa akili yoyote hapa JF anayeweza kunishinda kwa hoja zenye logic na fact sema huwa sipendi kupoteza muda kuelimisha MAHANITHI WA AKILI
Pia huyo mama ni damu damu na uhamsho zanzibar....kama ulikuwa ujui hivyo wewe sema ni mpole jidanganye hao ni kundi la wazanzibar wenye chuki na nyerere kupita unavyo fikili ni jamii za waarabu wanao amini kuwa zanzibar ni mali yao waliyo pokonywa na ccm kwa kupitia Nyerere.....Sa100vni pandikizi pori ila ndiyo hivyo ule msemo wa mchawi kupewa mwana amtunze umemwangukia ....wewe unajua kwanini hotuba za nyerere pia zimepigwa marufuku? au utabisha kuwa hakuna aliye piga marufuku? tunia Akili jomba acha upuuzi ...au wewe unafikiri sa100 ajui kuwa uchifu ulipigwa marufuku kwa sababu gani tz ...kwanini alijaribu kuurudicha kupingana na Nyerere na chama chake cha ccm ? Je ujui kuwa sasa hivi kuna kajimpasuko kati ya team msoga na team sa100 ya waarabu. Hadi majuzi naye kikwete katokea kulaani mambo ya uchifu kwenye tv na mitandao je unafikiri nini kilishindikana kwa kikwete kumwabia sa100 yeye kama yeye bila kwenda mitandaoni kuhusu kosa la kufufua uchifu ? Nijibu haya maswali kama kweli wewe siyo HANITHI WA AKILI NA UTOE MAJIBU KAMILI YASIYO NA SHAKA
 
Watu watanishangaa nikiendelea kujibishana na wewe

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Watu watanishangaa nikiendelea kujibishana na wewe

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nilijua lazima ukimbie mm siyo shabiki wa upumbavuu wala upuuzi hizo ni hoja nyeoesi tu nimekupa umeshindwa kuzijibu kwa sababu ukijibu utaonekani wazi wazi kuwa ni mpuuzi ...geza ulole alikuwa anaonekana mtu mwenye akili sana zamani hapa jf ila alianza kuonekana kuwa ni mpuuzi baada ya kuanza kushindana na watu tulio mzidi akili ndipo watu wakaanza kumtilia shaka uwezo wake ....bahati yako umekimbia nilikuwa nataka nikuvute kisha nikuletee nondo ambazo jf wenyewe wangefuta huu uzi kabisa
 
Nimegundua huo ukweli kwamba wewe ni akili kubwa sikuwezi.[emoji1][emoji1][emoji1]
Tony254
game over
The best 007
@

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wabunge Wanasubiri mpaka watalii wasitishe kuja bongo ndio waipe userious hii issue,wakenya jirani zetu but sio watu wazuri hao wacha tuone mwisho itakuaje!
 
Back
Top Bottom