joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Sisi kitambo tulijua huyu maza ni mzoga!MY TAKE; Hii ni kuthibitisha kwamba Kenya sio nchi rafiki na Tanzania. Kwa upande mwengine udhahifu wa serikali ya awamu ya SITA unajishihirisha wazi kabisa kwa kushindwa kumuita balozi wa Kenya kutoa maelezo kufuatia matamko ya baadhi ya wanasiasa Kenya kuingilia Mambo ya ndani ya nchi.
Kitendo cha Spika la bunge la Tanzania kulichukulia kirahisi hili jambo kufuatia mbunge mmoja wa Tanzania kulizungumzia kwa ufasaha, pia Kuna onyesha ni jinsi gani hii mihimili mikuu jinsi ilivyodhahifu.
Tony254
Geza Ulole
The best 007
7seven
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
MY TAKE; Hii ni kuthibitisha kwamba Kenya sio nchi rafiki na Tanzania. Kwa upande mwengine udhahifu wa serikali ya awamu ya SITA unajishihirisha wazi kabisa kwa kushindwa kumuita balozi wa Kenya kutoa maelezo kufuatia matamko ya baadhi ya wanasiasa Kenya kuingilia Mambo ya ndani ya nchi.
Kitendo cha Spika la bunge la Tanzania kulichukulia kirahisi hili jambo kufuatia mbunge mmoja wa Tanzania kulizungumzia kwa ufasaha, pia Kuna onyesha ni jinsi gani hii mihimili mikuu jinsi ilivyodhahifu.
Tony254
Geza Ulole
The best 007
7seven
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mbunge yupi wa Tanzania alizungumzia hili jambo? Mbona nimetafuta video na sijaiona. Sidhani kama kuna mbunge wenu ambaye amelizungumzia hili swala. Mnaiogopa Kenya sana.
MY TAKE: Hii ni kuthibitisha kwamba Kenya sio nchi rafiki na Tanzania. Kwa upande mwengine udhahifu wa serikali ya awamu ya SITA unajishihirisha wazi kabisa kwa kushindwa kumuita balozi wa Kenya kutoa maelezo kufuatia matamko ya baadhi ya wanasiasa Kenya kuingilia Mambo ya ndani ya nchi.
Kitendo cha Spika la bunge la Tanzania kulichukulia kirahisi hili jambo kufuatia mbunge mmoja wa Tanzania kulizungumzia kwa ufasaha, pia Kuna onyesha ni jinsi gani hii mihimili mikuu jinsi ilivyodhahifu.
Tony254
Geza Ulole
The best 007
7seven
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mbunge yupi wa Tanzania alizungumzia hili jambo? Mbona nimetafuta video na sijaiona. Sidhani kama kuna mbunge wenu ambaye amelizungumzia hili swala. Mnaiogopa Kenya sana.
Huyu mama aingie jeshi kwanza kablaa aongee, vita has only losers and no winners
Wakati mwingine simuelewi huyu speaker labda kwa vile anachukulia mambo kwa interpretation ya kisheria zaidi kuliko ukweli uliopo kwamba regional politics na international relations approach inahitajika kwa hili zaidi.
MY TAKE: Hii ni kuthibitisha kwamba Kenya sio nchi rafiki na Tanzania. Kwa upande mwengine udhahifu wa serikali ya awamu ya SITA unajidhihirisha wazi kabisa kwa kushindwa kumuita balozi wa Kenya kutoa maelezo kufuatia matamko ya baadhi ya wanasiasa Kenya kuingilia Mambo ya ndani ya nchi.
Kitendo cha Spika la bunge la Tanzania kulichukulia kirahisi hili jambo kufuatia mbunge mmoja wa Tanzania kulizungumzia kwa ufasaha, pia Kuna onyesha ni jinsi gani hii mihimili mikuu jinsi ilivyodhahifu.
Tony254
Geza Ulole
The best 007
7seven
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyu speaker nadhani baada ya kuona serikali imekaa kimnya, naye akaona atulie, au amemdharau huyo mbunge. Hili jambo lingesemwa na wabunge wenye nguvu nadhani asingelichukulia poa kiasi hiki. Ila utawala huu Tanzania tutachezewa Sana, rais na makamu wake, na speaker wote ni wapole saaWakati mwingine simuelewi huyu speaker kwa uwezo aliopewa kikatiba angeweza at least kutoa maadhimio. Ila anachukulia chokochoko kirahisi. Ngoja tuone.
Na hapo ndo kutotumia ule muhimili vizuri maadhimio r always welcome pitia EU parliament na House of commons! Yupo bully na si mwanasisa I wish Lissu angekuwemo a clash of characters ingekuwa order of the day!Huyu speaker nadhani baada ya kuona serikali imekaa kimnya, naye akaona atulie, au amendharau huo mbunge, hili jambo lingesemwa na wabunge wenye nguvu nadhani asingelichukulia poa kiasi hiki. Ila utawala huu Tanzania tutachezewa Sana, rais na makamu wake, na speaker wote ni wapole saa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wakati mwingine serikali inaamshwa na Bunge! Adhimio lingeamsha a letter of protest toka MoFA! Badala yake huyu mpumbavu anaenda kupokewa ubalozini na balozi aliyetakiwa ku-issue statement to condemn the porking of Kenyan NGOs' noses in Tanzanian internal affairs. .Huyu speaker nadhani baada ya kuona serikali imekaa kimnya, naye akaona atulie, au amendharau huo mbunge, hili jambo lingesemwa na wabunge wenye nguvu nadhani asingelichukulia poa kiasi hiki. Ila utawala huu Tanzania tutachezewa Sana, rais na makamu wake, na speaker wote ni wapole saa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wakati mwingine serikali inaamshwa na Bunge! Adhimio lingeamsha a letter of protest toka MoFA! Badala yake huyu mpumbavu anaenda kupokewa ubalozini na balozi aliyetakiwa ku-issue statement to condemn the porking of Kenyan NGOs' noses in Tanzanian internal affairs. .
Hii yote nam-blame malaika wenu (utabisha) for dismantling a vibrant parliament! If he did not enterfere with the 2000 election process at least 40% would have been opposition and their stand is well known. Believe me the reaction would have been different.
Mimi mtazamo wangu ni tofauti na wewe, enzi za Magufuli wakenya walinyooshwa vizuri na serikali, Wala sio kazi ya bunge kushughulika na haya Mambo, mbona huyo Ledama hakuenda katika bunge la Kenya badala yake amekwenda serikalini?(ubalozini).Wakati mwingine serikali inaamshwa na Bunge! Adhimio lingeamsha a letter of protest toka MoFA! Badala yake huyu mpumbavu anaenda kupokewa ubalozini na balozi aliyetakiwa ku-issue statement to condemn the porking of Kenyan NGOs' noses in Tanzanian internal affairs. .
Hii yote nam-blame malaika wenu (utabisha) for dismantling a vibrant parliament! If he did not enterfere with the 2000 election process at least 40% would have been opposition and their stand is well known. Believe me the reaction would have been different.
Ulitaka opinion juu ya response ya speaker au? Mbona hueleweki? Wacha uzabizabina wa kuni-tag kwa topic ambazo content zake hujui unachoongelea!Mimi mtazamo wangu ni tofauti na wewe, enzi za Magufuli wakenya walinyooshwa vizuri na serikali, Wala sio kazi ya bunge kushughulika na haya Mambo, mbona huyo Ledama hakuenda katika bunge la Kenya badala yake amekwenda serikalini?(ubalozini).
Enzi za Magufuli ilikua ni bandika bandua, Kenya wakifanya Leo, kesho yake serikali inajibu kwa nguvu zote. Mkuu kubali au kataa lakini ukweli ni kwamba mama Samia Suluhu ni kiongozi dhahifu Sana Kama alivyokua mzee Mwinyi, hadi ikamlazimu mwalimu Nyerere kumtungia kitabu na kusema waziwazi kwamba Mwinyi ni dhahifu
Hivi kulikua na sababu gani ya yeye kwenda Kenya na kusema kwamba kitendo cha Tanzania kuchoma vifaranga toka Kenya ni kosa wakati akijua kwamba Sheria za nchi yetu ndio zinasema hivyo?
Mkuu, Magufuli alifanya makosa mengi Sana katika utawala wake, Moja ya kosa kubwa alilofanya ni kumpendekeza mama Samia kuwa makamu wa rais, huku akijua fika kwamba hana ubora wa kuwa rais.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Niliandika vizuri tu hapo, kwamba sababu ya huyo speaker kulichukulia poa ni baada ya kuona serikali yenyewe imekaa kimya, huko hukutaka kugusia ukakimbilia kumlaumu Magufuli Kama kawaida yako, kwani wabunge walioshupalia suala la Jaguar walikua ni wapinzani?, au kwani Lisu alikuwepo?, Serikali na bunge vilikua imara vinajiamini, hivi Sasa sio Kama enzi zile.Ulitaka opinion juu ya response ya speaker au? Mbona ueleweki? Wacha uzabizabina wa kuni-tag kwa topic ambazo content zake hujui unachoongelea!
Tufanye Hivi .wacha kuni-tag basi!Niliandika vizuri tu hapo, kwamba sababu ya huyo speaker kulichukulia poa ni baada ya kuona serikali yenyewe imekaa kimya, huko hukutaka kugusia ukakimbilia kumlaumu Magufuli Kama kawaida yako, kwani wabunge walioshupalia suala la Jaguar walikua ni wapinzani?, au kwani Lisu alikuwepo?, Serikali na bunge vilikua imara vinajiamini, hivi Sasa sio Kama enzi zile.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wapinzani ndo kwanza wapo upande wakenya wengine wameposti picha za miaka sijui minne iliyopitaNiliandika vizuri tu hapo, kwamba sababu ya huyo speaker kulichukulia poa ni baada ya kuona serikali yenyewe imekaa kimya, huko hukutaka kugusia ukakimbilia kumlaumu Magufuli Kama kawaida yako, kwani wabunge walioshupalia suala la Jaguar walikua ni wapinzani?, au kwani Lisu alikuwepo?, Serikali na bunge vilikua imara vinajiamini, hivi Sasa sio Kama enzi zile.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sio wapole ni wa hovyo hovyoHuyu speaker nadhani baada ya kuona serikali imekaa kimnya, naye akaona atulie, au amemdharau huyo mbunge. Hili jambo lingesemwa na wabunge wenye nguvu nadhani asingelichukulia poa kiasi hiki. Ila utawala huu Tanzania tutachezewa Sana, rais na makamu wake, na speaker wote ni wapole saa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app