Serikali yetu imefanya kwa nia nzuri kulinda mipaka yetu kwa kufanya zoezi la kuweka mipaka ya Nguzo kwenye maeneo yote Loliondo.
Kuna wanaharakati njaa wanadai kuwa hamna Wamasai wa Kenya wala Tanzania, tunawapa tahadhari wakiendelea kuwasikiliza wanaharakati njaa wanataletea matatizo makubwa.
Wamasai wa Kenya tunaomba muelewe sasa hivi ukivuka hiyo nguzo upande wa Tanzania kitakachokutokea hatutaki lawama kila mmoja afugie kwake wanyama wake.