Wamasai wa Kenya mnatakiwa kuheshimu mipaka

Wamasai wa Kenya mnatakiwa kuheshimu mipaka

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Serikali yetu imefanya kwa nia nzuri kulinda mipaka yetu kwa kufanya zoezi la kuweka mipaka ya Nguzo kwenye maeneo yote Loliondo.

Kuna wanaharakati njaa wanadai kuwa hamna Wamasai wa Kenya wala Tanzania, tunawapa tahadhari wakiendelea kuwasikiliza wanaharakati njaa wanataletea matatizo makubwa.

Wamasai wa Kenya tunaomba muelewe sasa hivi ukivuka hiyo nguzo upande wa Tanzania kitakachokutokea hatutaki lawama kila mmoja afugie kwake wanyama wake.

1271508D-0984-4CFF-8E12-C78FF498CDBD.jpeg
 
Yaani wanasema kuwa "wamasai sio watu?". Wamasai wa Kenya ni wakenya na wa Tanzania ni watanzania.
 
Back
Top Bottom