Tetesi: Wamasai wa Tanzania wajitolea Ngombe 1700 kuwapa Wakenya kufidia Ngombe Waliopigwa Mnada na Serikali

Unachomaje moto vifaranga vilivyo hai? huo ujasiri unautolea wapi kwasababu sio kwa fikira na hisia za binadamu wa kawaida.
[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] raisi wangu

Wewe ni nanga .Unadhani yakitokea maradhi yanayosababishwa na ndege mngeongea kama mnavoongea sasa ?Kumbukeni jamani nchi kama China au Japan wasingekubali ujinga huu wa kuingiza ndege kinyemela.Serikali ikaze buti ili majirani watuelewe kwamba Tanzania siyo dampo tena.
 
unadhani wamasai wanajua hiyo mimi mtanzania wewe mkenya?mmasai nimmasai tu haijalishi yu atokea wapi,hapo wanaona msiba ni wao wote
124 Ali tena kule Kenya wamasai rasmi wanatambulika kama " The Masai of East Africa". Ukienda Longido na Namanga sidhani unaweza kuwatofautisha Wamasai wa Kenya na Tanzania!
 
Reliable source please.
Na wawaambie wachunge ngombe zao huko huko kwao.
Masuala ya jamii ni moja msituletee hapa.
Mipaka iheshimiwe.

Unamjua aliyeweka mipaka? Na unajua aligawa akiwa wapi na kwa vigezo Vipi? Huko Berlin wenzenu waliwagawa kwa faida zao.
 
Nawapongeza Sana Rafiki zangu Wamasai kwa Umoja wao waliyoonyesha wa Kujitolea Ng'ombe 1700 kuwarudishia Wenzao wa Kenya Ng'ombe zilizokuwa zimepigwa Mnada.Vil
TRA mnajua sheria zenu MTU aki donate gari bure kumpa hawara yake huwa MNA treat vipi? Hakikini kama ni donation na sio sale na kama yakidhi sheria za TRA.TRA wake up
 
You would rather know, before hand, how serious governments work. Fikiri madhara yanayosababishwa na bird flu kwa wananchi iwapo hatua kama hizo hazikuchuliwa, eti kwa kuwa tunapendana (kwa kuangaliana usoni) na jirani zetu.
Birds flue???? Utetezi wako hauna nguvu. Kwani walifanya jitihada yoyote kuwapima kama si kujichukulia solution rahisi kutokana na uvivu? Na pili si wangewarudisha watokako? Tusipende kutetea uvivu wa kufikiri wa wahusika.
 
Thibitisha acha ngonjera
Uthibitisho ni kuwa, hakuna taarifa yoyote ya mafua ya ndege iliyotangazwa na vyombo vya habari vya kimataifa hapa Africa mashariki. Taarifa pekee ni tuliyonayo ni kutoka kwa wachoma vifaranga. Sasa, taarifa kama hii ambayo huisikii kutoka shirika kubwa lolote la habari zaidi ya hao wachomaji wa vifaranga, inatia shaka sana.
 
You would rather know, before hand, how serious governments work. Fikiri madhara yanayosababishwa na bird flu kwa wananchi iwapo hatua kama hizo hazikuchuliwa, eti kwa kuwa tunapendana (kwa kuangaliana usoni) na jirani zetu.
Ujue wa tz tuna phd za kulaum tu ndugu yangu, yaan hayo hawayaoni wanaojua wao ni kulaum tu
 
Hakuna cha mafua ya ndege wala nini, ni ubabe tu.
We kweli hamnazo kabisa, hata hao wakenya hawapo tayari vitu viingie nchini mwao kienyeji enyeji to hususani mifugo bila kujilizisha afya ya mifugo husika.
 
Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
 
You would rather know, before hand, how serious governments work. Fikiri madhara yanayosababishwa na bird flu kwa wananchi iwapo hatua kama hizo hazikuchuliwa, eti kwa kuwa tunapendana (kwa kuangaliana usoni) na jirani zetu.
Vifaranga vilikuwa na flu au ni kujitafutia sababu tu?

Acha siasa
 
Unachomaje moto vifaranga vilivyo hai? huo ujasiri unautolea wapi kwasababu sio kwa fikira na hisia za binadamu wa kawaida.
[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] raisi wangu
CC: Fashisti Injinia Jo
 
Unachomaje moto vifaranga vilivyo hai? huo ujasiri unautolea wapi kwasababu sio kwa fikira na hisia za binadamu wa kawaida.
[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] raisi wangu
Ni sheria ya kudhibiti magonjwa ya ndege duniani Asia walichoma malaki ya kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…