Unachomaje moto vifaranga vilivyo hai? huo ujasiri unautolea wapi kwasababu sio kwa fikira na hisia za binadamu wa kawaida.
[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] raisi wangu
Wewe ni nanga .Unadhani yakitokea maradhi yanayosababishwa na ndege mngeongea kama mnavoongea sasa ?Kumbukeni jamani nchi kama China au Japan wasingekubali ujinga huu wa kuingiza ndege kinyemela.Serikali ikaze buti ili majirani watuelewe kwamba Tanzania siyo dampo tena.