Sio mlango tu, na geti nimefungua kabisa. Una la zaidi la kusema......lala mlango wazi tu !
Subiri kitu chenye ncha kali kinakujaa !Sio mlango tu, na geti nimefungua kabisa. Una la zaidi la kusema.
Miaka yote mlikuwa mnaingiza bila kujali hayo mnayoyasema. Ina maana wakati huo mlikuwa na akili fupi?! Sasa akili zenu ndio zimekuwa ndefu kwenye awamu hii?!Ukiwa na akili fupi bila kufikiri madhara ya kuingiza kila kitu ovyo ,ndio utawaza ujinga huu ulioandikaa
Kije tu, hapa ndio mwisho wa makali.Subiri kitu chenye ncha kali kinakujaa !
.....gilisi na tega kabisaa !Kije tu, hapa ndio mwisho wa makali.
Tega mkuu......gilisi na tega kabisaa !
Ka namjua vile!!!
Hatari sana! Huu unaweza kuwa uchochezipombe anapenda vya kuokota..
mara aokote makenikia
mara dhahabu
mara vichwa vya treni
mara dola
mara nyumba za lugumu
mara angela
mara aokote ng'ombe
nasikia kaokota na airtel
mwisho ataokota makadari !!
anapenda vya burebure..
"naomba nipewe haraka hizo hela nitumie"
hela za kuhongwa na wawekeza...
Angalia walivyo na njaa na maguo yao ya kijani.
Kwa nini hawaku wa isolate na kuwa screen? Roho za watawala wa sasa si za kiungwana kabisa. Si dhambi kutamka kuwa sasa tunaongozwa na ma half cast wa ki nyarwanda.Hakuna cha mafua ya ndege wala nini, ni ubabe tu.
Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
Half cat la kishetani.Kwa nini hawaku wa isolate na kuwa screen? Roho za watawala wa sasa si za kiungwana kabisa. Si dhambi kutamka kuwa sasa tunaongozwa na ma half cast wa ki nyarwanda.