Tetesi: Wamasai wa Tanzania wajitolea Ngombe 1700 kuwapa Wakenya kufidia Ngombe Waliopigwa Mnada na Serikali

Tetesi: Wamasai wa Tanzania wajitolea Ngombe 1700 kuwapa Wakenya kufidia Ngombe Waliopigwa Mnada na Serikali

Ukiwa na akili fupi bila kufikiri madhara ya kuingiza kila kitu ovyo ,ndio utawaza ujinga huu ulioandikaa
Miaka yote mlikuwa mnaingiza bila kujali hayo mnayoyasema. Ina maana wakati huo mlikuwa na akili fupi?! Sasa akili zenu ndio zimekuwa ndefu kwenye awamu hii?!
 
pombe anapenda vya kuokota..
mara aokote makenikia
mara dhahabu
mara vichwa vya treni
mara dola
mara nyumba za lugumu
mara angela
mara aokote ng'ombe
nasikia kaokota na airtel
mwisho ataokota makadari !!
anapenda vya burebure..
"naomba nipewe haraka hizo hela nitumie"
hela za kuhongwa na wawekeza...
 
a3970fea50033c653b0806961ab47045.jpg
Ka namjua vile!!!
 
pombe anapenda vya kuokota..
mara aokote makenikia
mara dhahabu
mara vichwa vya treni
mara dola
mara nyumba za lugumu
mara angela
mara aokote ng'ombe
nasikia kaokota na airtel
mwisho ataokota makadari !!
anapenda vya burebure..
"naomba nipewe haraka hizo hela nitumie"
hela za kuhongwa na wawekeza...
Hatari sana! Huu unaweza kuwa uchochezi
 
Hakuna cha mafua ya ndege wala nini, ni ubabe tu.
Kwa nini hawaku wa isolate na kuwa screen? Roho za watawala wa sasa si za kiungwana kabisa. Si dhambi kutamka kuwa sasa tunaongozwa na ma half cast wa ki nyarwanda.
 
Wenzio wamechanga ng'ombe na wewe changa vifaranga!
Magufulai anajenga uwanja wa ndege chatu.
Je wamasai wa kenya wana moyo huo.. kama walivyo wamasai wa Tanzania...au yule Mtanzania aliyechomewa vifaranga..kwa nin hawakuweza mrudishia hata nusu ya gharama..
 
Kwa nini hawaku wa isolate na kuwa screen? Roho za watawala wa sasa si za kiungwana kabisa. Si dhambi kutamka kuwa sasa tunaongozwa na ma half cast wa ki nyarwanda.
Half cat la kishetani.
 
Back
Top Bottom