Wamasai waacheni kama walivyo

Wamasai waacheni kama walivyo

Niliwah pata dawa kutoka ukerewe huko kipindi nipo form 2 kuna manzi nilikuwa namwelewa sana

Dawa yenyew ilikuwa ya unga niliitia kwenye maji ya kuoga asubuhi kabla ya kwenda shule na ndan ya maji niliweka shilingi ishirini ndo yalikuwa mashariti yake na wakati wa kuoga niliambiwa inatakiwa nikiwa naoga nilitamke jina la huyo manzi na niseme jinsi navyomuhitaji na nikimaliza kuoga ile shilingi ishirini nimpatie kijana yoyote mdogo nilifanya hvyo ile kufika shule nikamuona huyo demu kwa mbali amenitumbulia mimacho nikawa namkwepa,siku hiyo huyo demu hakusoma vizuri muda wote alikuwa ananiangalia mimi tu

Yaan hapo ilitakiwa nikipata muda mzuri nimfate nimwambie kuwa namtaka na nimpeleke gheto asingekataa lakin kutokana na uwoga wangu nilishindwa kabisa kumaliza mchezo mpaka siku hyo inaisha demu kazubaa tu kila akiniona yaan anakuwa kama ananishangaa
Chai
 
Back
Top Bottom