Wamasai waandamana katika ubalozi wa Kenya kuiomba serikali ya Kenya kuingilia kati upotoshaji wa zoezi linaloendelea la Loliondo na Ngorongoro

Propaganda!

Tanzania ina inferiority complex sana kwa Kenya sijui ni kwa nini ? Kwa nini hatujiamini na kutatua matatizo yetu badala ya kutafuta kulaumu kila mtu na kila kitu ? Tunajishusha sana!
Mmeshindwa kuwasikiliza labda hiyo ita raise awareness, msijifanye wajuaji
 
Hawa wamasai washenzi nini .wachunguzwe uraia wao kwanza isije ikawa tunafuga manyang'au hapa nchini
 
Hao wamasai walikuwa na kibali cha polisi?

Tanzania hii hii yetu imeruhusu maandamano!
 
Unawafahamu wamasai wewe? Acha porojo. Hakuna mmasai hapo.

Hiyo picha imebuma
 
Ukifikiria sana na kujitahidi kukumbuka mambo ambayo jirani yetu amekuwa akitufanyia utaonea kuwa lazima kuna jambo hapa limefichuliwa. Hawa jamaa waliwahi kuwafungia nyumbu kule upande wao, ambao kwa kawaida huhama kufuatia majira yanayo waridhisha kwa ajili ya malisho nk. Waliwafungia nyumbu wakafa kwa wingi sana waliposhindwa kukatisha mpaka kurudi upande wa Tanzania. Sasa hili jambo ninaloliona sasa liaashiria uharamia wa kutaka idadi ya watu iongezeke ngorongoro na serengeti ili wanyama wahamie kwa wingi upande wa pili, ambako wao hawarusu ufugaji kwenye maeneeo ya hifadhi. Naturally mnyama wa porini anapoona idadi ya binadamu inaongezeka huhamia kwenye pori tulivu lisilokuwa na shughuli za binadamu. Nahisi huo ndiyo mpango wa kijasusi walio nao jirani zetu. Serikali isikubali kamwe tena waondolewe haraka sana na hata maofisi ya kitalii yalio karibu na huko yangefungwa mara moja.
 
Sidhani kama wamelazimishwa mkuu, pia nadhani hata walipewa muda wa kuondoka wenyewe. Sijasikia mtu kukamatwa kwa nguvu kupelekwa Handeni.
Unategemea kusikia kutokea wapi TBC au makalioni kwako
 
Propaganda!

Tanzania ina inferiority complex sana kwa Kenya sijui ni kwa nini ? Kwa nini hatujiamini na kutatua matatizo yetu badala ya kutafuta kulaumu kila mtu na kila kitu ? Tunajishusha sana!
Wamasai wenyewe walioandamana sasa..... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • 20220617_175957.jpg
    27.4 KB · Views: 5
  • 20220617_175952.jpg
    49.1 KB · Views: 5
Sasa kama ni Kenya, si waandamane tu, sisi hatuna shida nao, ila Ngorongoro and Loliondo lazima waondoke Wakenya nyang'au sana, wamejaza wamasai wao na mifugo yao Tanzania, sbb Kenya hakuna malisho, alafu wanaandana huko Kenya, waache waandamane tu.
Au ndio maana wamezuia malori ya chakula huko mpakani
 
Unae ndugu hata mmoja aliyeuawa itusaidie wana jukwaa? Jina na picha hata kama ya album..πŸ™πŸ™πŸ™
Aljezeera BBC unaweza kucheki!!!hata yule polisi aliyekufa KWA kuchomwa na mshale nayo ni mauaji au unafikiri tafrija!!?polisi kauawa KWA mshale je hakuna mmsai au wamasai waliokufa kujibu mapigo KWA Askari mwenzao kuuawa KWA mshale!!!?kama kuna amani huko kwanini Askari achomwe mshale!!!?wale madiwani wa ccm 31 walipotea walipatikana kama mbunge wa Jimbo lao alivolalama!!?wale majeruhi wanaotibiwa kenya kama ilivoripotiwa na BBC na Mbunge wamepona wangapi na wangapi wameshapoteza uhai!!!?

Kifo cha polisi pia ni mauaji na ni matokeo ya mapambano au vita au wewe UNAFIKIRI ni kitchen party!!!?

Umeiharibu siku yangu we jamaa!!!!!
 
Sizungumzi bila facts ndugu. Yes, askari wetu bahati mbaya aliuwawa nazungumzia hizo taarifa za raia kuuawa. Nimeomba kupata japo jina. Wala huna haja ya kuharibu mood. Muhimu tusisitize umoja, amani na utulivu. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…