Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Mmeshindwa kuwasikiliza labda hiyo ita raise awareness, msijifanye wajuajiPropaganda!
Tanzania ina inferiority complex sana kwa Kenya sijui ni kwa nini ? Kwa nini hatujiamini na kutatua matatizo yetu badala ya kutafuta kulaumu kila mtu na kila kitu ? Tunajishusha sana!