Wamasai wadai hawaondoki Ngorongoro kwa sababu wanalindwa na UTATU wa kikatiba yaani Wenyeji - Hifadhi - Utalii

Inapelekwa jeshi kule ukitaka kusikia wamasai wameuwawa Kama kuku wajifanye wanaleta Vita ya kinjekitile watafurahi maaaanina.
Jeshi lipi? La JW? Sio rahisi, hapo ni polisi tu. Achana na polisi mkuu.
 

Maulid, ahahhaaa hatimaye wanaondoka asee..
 
isije kuwa ngorongoro nayo kama gesi!
 
Sio LAZIMA watete bungeni jua Hilo
 
Nawasapoti Wamasai, ila wapunguze Mifugo yao.
Sijui nicheke au vipi. Yaani waondolewe kwa "ulinzi wa wanyama" ili wanyama wasidhurike halafu tena wapunguze wanyama wao?
Mifugo ni wanyama.
Wauze hao wanyama wa serengeti badala ya kuwaondoa Wamaasai.
Wanyama hao wapewe refugee status wahamishiwe Dubai.
 
Masai wote.lazma wataondoka taka wasitake. Hakuna kubaki kunya kunya hifadhini.

Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
Hii kali kweli kweli. Mavi ya wamasai makali kuliko ya Wanyama.
Wanyama wakinya mavi yanaenda mbiguni!

Hii sababu ya kunya kunya ni safi, chafu mavi ya Wamasai😵☢️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…