Wamasai waliohamishiwa Msomera wamuingiza mjini mama, waonekana tena Ngorongoro!

Wamasai waliohamishiwa Msomera wamuingiza mjini mama, waonekana tena Ngorongoro!

Tembea uone, Wahutu wana vuka mpaka na kuja kuishi Tanzania kama tu wamakonde wanaotoka nachingwea na kwenda kuishi mbagala.
Naona haelewi kuwa mipaka ilitengenezwa na watu
America wameshindwa kudhibiti, ulaya nao kila siku wanaingia bila hata karatasi
Nimevuka border nyingi sana mimi na kuna watu wanasaidiwa na hao hao wanaolinda
 
Katika jambo la kustaajabisha kabisa ni tukio la wamasai waliohamishwa kutoka Ngorongoro na kupelekwa kule Handeni, Tanga eneo la Msomera wameonekana pia Ngorongoro wakati huu wa sakata la wamasai kuungana kudai haki ya kuendelea kuishi Ngorongoro.

Tulielezwa kuwa wakati wa zoezi la kuhamia Tanga, wamasai walipewa bure usafiri wa kubeba familia na mali zao, wakajengewa nyumba za kisasa, kuletewa huduma muhimu na kupewa posho nzuri ya kuanzia maisha huku wakishukuru kwa wema na fadhili za serikali ya mama.

Kwa kifupi serikali ilitumia nguvu-kazi kubwa, muda, pesa na kila namna ili kujenga mazingira ya wamasai kwenda kuishi Tanga, na wamasai wajanja wakatumia fursa hiyo kuvuna kirahisi huku akili na mioyo yao ikiendelea kubakia Ngorongoro.

Kwa sasa wamasai wale wana makazi sehemu mbili, kule Msomera na Ngorongoro. Huku ndiko kula keki ya taifa. Na kwa jinsi wamasai walivyo huenda wakatapakaa Handeni yote na kuwafurumusha wenyeji taratibu ili kuhodhi eneo lote kwa ajili ya kuishi na kufuga.

Safari hii mmasai kamuingiza mjini mswahili. Kumbe mjini kuna wajinga wengi ambao wanaweza kutapeliwa na washamba wa porini.

Soma Pia:
Pole sana mama, hawa watanganyika waache kama walivyo hivyo hivyo, wapambane na hali yao, wanakuchosha bure, hawana shukrani kabisa!
Kwahiyo wale wamasai waliokuwa wanashukuru kuhamishiwa makazi Msomera kumbe walikuwa na jambo lao mioyoni? 🤣 🤣 🤣
 
Hivyo vibanda walivyojengewa ndiyo unaita nyumba za kisasa?Kwanza umeandika uongo mtupu.
Kama walichojengewa ni kibanda ni afadhali kuliko ngorongoro wanaishi kwenye vichuguu
 
Maasai walaumiwe ikiwa tu walimuomba Sa100 kuwahamisha.
 
Back
Top Bottom