Wamasai waliohamishiwa Msomera wamuingiza mjini mama, waonekana tena Ngorongoro!

Tembea uone, Wahutu wana vuka mpaka na kuja kuishi Tanzania kama tu wamakonde wanaotoka nachingwea na kwenda kuishi mbagala.
Naona haelewi kuwa mipaka ilitengenezwa na watu
America wameshindwa kudhibiti, ulaya nao kila siku wanaingia bila hata karatasi
Nimevuka border nyingi sana mimi na kuna watu wanasaidiwa na hao hao wanaolinda
 
Kwahiyo wale wamasai waliokuwa wanashukuru kuhamishiwa makazi Msomera kumbe walikuwa na jambo lao mioyoni? 🤣 🤣 🤣
 
Hivyo vibanda walivyojengewa ndiyo unaita nyumba za kisasa?Kwanza umeandika uongo mtupu.
Kama walichojengewa ni kibanda ni afadhali kuliko ngorongoro wanaishi kwenye vichuguu
 
Maasai walaumiwe ikiwa tu walimuomba Sa100 kuwahamisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…