Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Kudanga tena🤣Wamejiharibia
Hakuna mtu atawaajiri tena, warudi tu kwenye asili yao, wamejiharibu sana kuja kudanga mjini na kupoteza mila zao...
Hujambo bint. ... yule jamaa anayekuandika thread walau umemfikiria kumtelezesha ? 😊Kudanga tena🤣
StupidKufuatia tukio liliofanywa na member wa umasaini la kifo cha aliyekuwa mkurugenzi wa kiwanda cha kuchakata unga wa makopo ya plastiki, baadhi ya watu wanapata hofu wanapomuona mtu akiwa kwenye vazi la shuka, hususan kobeto likiwa linaning'inia pembezoni mwa kiuno
Twende kwenye tukio halisi, mida ya saa kumi jioni nilivuta chombo kimoja cha kinyaturu na kukitupia gesti kwa ajili ya mashambulizi, nikiwa kwenye kioski cha chips umbali wa mita kadhaa kutoka hapo nikashangaa simu inaingia, binti akinitaka niwahi haraka kuna jambo haliko sawa
Nikiwa nawahi eneo la tukio, nikakutana na mwamba anatoka kibati akiwa amevaa vesti na kujifunga taulo. Baada ya kuingia ndani ya fensi nikakutana na jopo la wamasai wakiwa wamesimama na mhudumu wa gesti hiyo, nikaskia "Kwa hiyo hatuwesi pata chumba". "Ndiiioooo, mtaniwia radhi" kwa sauti ya kutetemeka, "Basi tutalala hapa mapokesi", "Hapana kaka zangu, boss atagomba", basi wakawa wameondoka, mhudumu akavuta pumzi kubwa sana na kuingia maliwatoni kulimwaga kojo. Baada ya kuingia room nikamkuta shemeji yenu akitetemeka eti kuna wamasai wapo hapo nje
Dah! Na hili nalo mkalituzame kwa kweli
Sijambo shkamoo!Hujambo bint. ... yule jamaa anayekuandika thread walau umemfikiria kumtelezesha ? 😊
.ahsante kwa salamu mtoto mzuri .....Sijambo shkamoo!
Duhh nilisahau! Ngoja nimuombe pesa kwanza kumpima imani!🤭
Na simuonii hata
Kama ni hivyo sitaki! 😕.ahsante kwa salamu mtoto mzuri .....
Mfikirie sana, mzingatie... hapo kwenye pesa utaachiwa manyoya
Hivi Shule zimefungwa? Story ni ya kutunga halafu ya kitoto kuleta taharuki tuKufuatia tukio liliofanywa na member wa umasaini la kifo cha aliyekuwa mkurugenzi wa kiwanda cha kuchakata unga wa makopo ya plastiki, baadhi ya watu wanapata hofu wanapomuona mtu akiwa kwenye vazi la shuka, hususan kobeto likiwa linaning'inia pembezoni mwa kiuno
Twende kwenye tukio halisi, mida ya saa kumi jioni nilivuta chombo kimoja cha kinyaturu na kukitupia gesti kwa ajili ya mashambulizi, nikiwa kwenye kioski cha chips umbali wa mita kadhaa kutoka hapo nikashangaa simu inaingia, binti akinitaka niwahi haraka kuna jambo haliko sawa
Nikiwa nawahi eneo la tukio, nikakutana na mwamba anatoka kibati akiwa amevaa vesti na kujifunga taulo. Baada ya kuingia ndani ya fensi nikakutana na jopo la wamasai wakiwa wamesimama na mhudumu wa gesti hiyo, nikaskia "Kwa hiyo hatuwesi pata chumba". "Ndiiioooo, mtaniwia radhi" kwa sauti ya kutetemeka, "Basi tutalala hapa mapokesi", "Hapana kaka zangu, boss atagomba", basi wakawa wameondoka, mhudumu akavuta pumzi kubwa sana na kuingia maliwatoni kulimwaga kojo. Baada ya kuingia room nikamkuta shemeji yenu akitetemeka eti kuna wamasai wapo hapo nje
Dah! Na hili nalo mkalituzame kwa kweli
Itakuwa avatar yako, maana hicho kitu unachopiga kinatuvutia wengi hukuKavutiwa na emoji jamani😆
Dahh mbona kinapingwa sana mkuu! 😁Itakuwa avatar yako, maana hicho kitu unachopiga kinatuvutia wengi huku