Wamasai wamueleza Lissu namna wanavyofanyiwa ukatili wa kutisha na Serikali

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Wamemueleza kuwa:

1. Serikali huwa inasogeza mipaka kimyakimya kinyume cha sheria ili kupanua eneo la hifadhi na kuwaminya

2. Serikali huwa inachoma maboma yao ili kuwafrustrate waondoke

3. Na hata kwenye eneo ambalo siyo la hifadhi ambapo huwa wanafanya vilimo vidogovidogo serikali huwa inatuma watu wanaharibu mazao.

Unaweza kupata taarifa zaidi kwenye hii video

4. Katika kijiji cha Ololosokwan Serikali imewaminya na kuwaachia eneo la nusu kilometa tu kwa ajili ya malisho

View: https://www.youtube.com/watch?v=gqgnGrMT48U&ab_channel=JAMBOTV
 
Serikali iache ukatili dhidi ya Ndugu zetu Wamasai.

Mbona Kenya solution imepatikana.
 
Wamemueleza kuwa:

1. Serikali huwa inasogeza mipaka kimyakimya kinyume cha sheria ili kupanua eneo la hifadhi na kuwaminya
2. Serikali huwa inachoma maboma yao ili kuwafrustrate waondoke
3. Na hata kwenye eneo ambalo siyo la hifadhi ambapo huwa wanafanya vilimo vidogovidogo serikali huwa inatuma watu wanaharibu mazao.
Unaweza kupata taarifa zaidi kwenye hii video
4. Katika kijiji cha Ololosokwan Serikali imewaminya na kuwaachia eneo la nusu kilometa tu kwa ajili ya malisho

View: https://www.youtube.com/watch?v=gqgnGrMT48U&ab_channel=JAMBOTV

Hakika mama Abdul anaupiga mwingi hadi unamwagika.
 
Hifadhi sio malisho,Tanzania ni kubwa Maasai wanatakiwa kuhama na kupisha uhifadhi
 
Hifadhi no eneo nyeti Dana lazima litunzwe na watanzania wenyewe
 
Back
Top Bottom