Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
NakaziaSi alizuiwa asiende kule?.
Kumbe alienda?.
Hakika mama Abdul anaupiga mwingi hadi unamwagika.Wamemueleza kuwa:
1. Serikali huwa inasogeza mipaka kimyakimya kinyume cha sheria ili kupanua eneo la hifadhi na kuwaminya
2. Serikali huwa inachoma maboma yao ili kuwafrustrate waondoke
3. Na hata kwenye eneo ambalo siyo la hifadhi ambapo huwa wanafanya vilimo vidogovidogo serikali huwa inatuma watu wanaharibu mazao.
Unaweza kupata taarifa zaidi kwenye hii video
4. Katika kijiji cha Ololosokwan Serikali imewaminya na kuwaachia eneo la nusu kilometa tu kwa ajili ya malisho
View: https://www.youtube.com/watch?v=gqgnGrMT48U&ab_channel=JAMBOTV
Hifadhi sio malisho,Tanzania ni kubwa Maasai wanatakiwa kuhama na kupisha uhifadhiWamemueleza kuwa:
1. Serikali huwa inasogeza mipaka kimyakimya kinyume cha sheria ili kupanua eneo la hifadhi na kuwaminya
2. Serikali huwa inachoma maboma yao ili kuwafrustrate waondoke
3. Na hata kwenye eneo ambalo siyo la hifadhi ambapo huwa wanafanya vilimo vidogovidogo serikali huwa inatuma watu wanaharibu mazao.
Unaweza kupata taarifa zaidi kwenye hii video
4. Katika kijiji cha Ololosokwan Serikali imewaminya na kuwaachia eneo la nusu kilometa tu kwa ajili ya malisho
View: https://www.youtube.com/watch?v=gqgnGrMT48U&ab_channel=JAMBOTV
Hifadhi ni eneo nyeti sana lazima litunzwe na watanzania wenyeweeneo
Ile ni mali ya watanzania na UAE so anahaki ya kwenda!!Si alizuiwa asiende kule?.
Kumbe alienda?.
Kuwapisha waarabu.Hifadhi sio malisho,Tanzania ni kubwa Maasai wanatakiwa kuhama na kupisha uhifadhi
Sawa tuu Cha msingi Waarabu hawaharibu MazingiraKuwapisha waarabu.