Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Nilikuwa nasikiliza press ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ambapo kati ya mambo mengi akizungumzia suala la Lolindo na kusema kauli ya Waziri Mkuu ilikuwa sahihi.
Sasa baada ya taarifa aliruhusu simu kutoka kwa waandishi na wananchi ambao wengi walikuwa ni Wamasai.
Wamasai hao wamesisitIza hakuna vurugu zilizotokea Loliondo na hawana shida na Serikali
Ama walipangwa? 🤣🤣🤣