Wamasai wapiga simu kwa fujo kwenye press ya Gerson Msigwa na kuzungumzia Loliondo

Wamasai wapiga simu kwa fujo kwenye press ya Gerson Msigwa na kuzungumzia Loliondo

Kwa hyo msigwa nae kaleta mamb ya jiwe Happ. Ya kutafuta watu wa michongo
 
Mbona vituko?press imaruhusu maswali kwa njia ya simu tena?

Hii serikali hata kupanga story za kueweka wanashindwa.

Huyo mama nasikia kesho anaend kwa waarabu wa omani ambao ndio alikua anataka awauzie wanyama.

Nadhani wanaenda kumuuliza kwa nini umesitisha kutuuzia wanyama.
Ndio huwa ana kawaida ya kuruhusu simu za wananchi
 
Yaani wamasai kabisa kule maporini wawe wanasubiria press ya Msigwa na kupiga simu??

Endeleeni kuchezea maisha ya watu. Hata yenu pia Mungu atayachezea mkifikiri hakuna wa kuwafanya lolote.
 
Back
Top Bottom