Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kaka unauliza rangi ya mkaa?Nilikuwa nasikiliza press ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ambapo kati ya mambo mengi akizungumzia suala la Lolindo na kusema kauli ya Waziri Mkuu ilikuwa sahihi.
Sasa baada ya taarifa aliruhusu simu kutoka kwa waandishi na wananchi ambao wengi walikuwa ni Wamasai.
Wamasai hao wamesisitIza hakuna vurugu zilizotokea Loliondo na hawana shida na Serikali
Ama walipangwa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama hawajspangwa, ni press gani nyingine uliwahi kuona inaruhusu maswali kwa njia ya simu?Nilikuwa nasikiliza press ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ambapo kati ya mambo mengi akizungumzia suala la Lolindo na kusema kauli ya Waziri Mkuu ilikuwa sahihi.
Sasa baada ya taarifa aliruhusu simu kutoka kwa waandishi na wananchi ambao wengi walikuwa ni Wamasai.
Wamasai hao wamesisitIza hakuna vurugu zilizotokea Loliondo na hawana shida na Serikali
Ama walipangwa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa mshale?Kumbe polisi alijiua
Akikujibu nishitueKama hawajspangwa, ni press gani nyingine uliwahi kuona inaruhusu maswali kwa njia ya simu?
Press zake zote huwa anaruhusu wananchi kupiga simuKama hawajspangwa, ni press gani nyingine uliwahi kuona inaruhusu maswali kwa njia ya simu?
NishamjibuAkikujibu nishitue
Wamasai wa michongo hao ndio wanasema hakuna vuruguNilikuwa nasikiliza press ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ambapo kati ya mambo mengi akizungumzia suala la Lolindo na kusema kauli ya Waziri Mkuu ilikuwa sahihi.
Sasa baada ya taarifa aliruhusu simu kutoka kwa waandishi na wananchi ambao wengi walikuwa ni Wamasai.
Wamasai hao wamesisitIza hakuna vurugu zilizotokea Loliondo na hawana shida na Serikali
Ama walipangwa? π€£π€£π€£
Ile simu ilikua inapigwa toka chumba Cha pili.Kama hawajspangwa, ni press gani nyingine uliwahi kuona inaruhusu maswali kwa njia ya simu?
π π πIle simu ilikua inapigwa toka chumba Cha pili.
RC alikosea kumbuka hapo ni Arusha cha Arusha hakikuwa mbali. Afande alikuwa anapambana na majambazi.Kumbe polisi alijiua