Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
kwa sasa nimeona Wamasai wengi wakihamishwa na Costa kupelekwa huko Handeni na ng'ombe zao kuhamishwa kwa malori, ikielezwa kuwa wanahama kwa hiyari
Najua kuna amboa wanaweza kuweka msimamo mwanzo mwisho kuwa hawatahama kwa kuwa kuhama ni hiyari
Sasa hawa hawataamini kitakachowakuta, watafanyiwa umafia wa hatari hata huko Handeni wataomba kwenda kwa miguu ila itakuwa too late
Sasa hivi mnaletewa mabasi kwa sababu mpo wengi na serikali haitaki kuonekana bad guys, ila mkibaki wachache serikali itasema wote wameshahama na nyie wachache kitakachowakuta hamtaamini