Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,036
- 5,039
Dola ina nguvu lakini hazitumiki kiholela kama unavyodhani.Makubaliano yatapatikana tuu hata kwa virungu na mtutu wa bunduki. Dola ina nguvu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dola ina nguvu lakini hazitumiki kiholela kama unavyodhani.Makubaliano yatapatikana tuu hata kwa virungu na mtutu wa bunduki. Dola ina nguvu sana.
Ardhi yetu iko wapi? Ardhi mali ya serikali.
Makubaliano yatapatikana tuu hata kwa virungu na mtutu wa bunduki. Dola ina nguvu sana.
Sisi tunasubiri nyama za ng'ombe wa wakaidi"Kitakacowapata hawataamini" kumbe mnakiri bado tupo kwenye utawala wa kidikteta.
Hao wanaohama waachwe wahame, wasiohama wasisumbuliwe, lakini sio kulazimisha kutoa ardhi yetu kwa mjomba tena kwa mabavu huku chawa mkishangilia.
Profesa Shivji ameeleza vizuri kuhusu ardhi ni mali ya nani, na ni hatua gani zichukuliwe pindi serikali ikitaka kuichukua, na sio kupiga wananchi na kuwahamisha kwa shuruti. Bila machafuko kutokea nchini na kupeana adabu, sheria za nchi hii zitaendelea kufuatwa kwa utashi wa rais na genge lake.
Kwa hiyo kwasasa wananchi sio wenye nguvu tena bali dola. Uko sahihi maana serikali hii haiko madarakani kwa ridhaa ya wananchi bali nguvu ya dola.
Dola ina nguvu lakini hazitumiki kiholela kama unavyodhani.
kwa sasa nimeona Wamasai wengi wakihamishwa na Costa kupelekwa huko Handeni na ng'ombe zao kuhamishwa kwa malori, ikielezwa kuwa wanahama kwa hiyari
Najua kuna amboa wanaweza kuweka msimamo mwanzo mwisho kuwa hawatahama kwa kuwa kuhama ni hiyari
Sasa hawa hawataamini kitakachowakuta, watafanyiwa umafia wa hatari hata huko Handeni wataomba kwenda kwa miguu ila itakuwa too late
Sasa hivi mnaletewa mabasi kwa sababu mpo wengi na serikali haitaki kuonekana bad guys, ila mkibaki wachache serikali itasema wote wameshahama na nyie wachache kitakachowakuta hamtaamini
Itakuwa hivyoNa Ardhi watauziwa!!!
Sio kubembeleza kila kitu"Kitakacowapata hawataamini" kumbe mnakiri bado tupo kwenye utawala wa kidikteta.
Hao wanaohama waachwe wahame, wasiohama wasisumbuliwe, lakini sio kulazimisha kutoa ardhi yetu kwa mjomba tena kwa mabavu huku chawa mkishangilia.
Una ushahidi wa unachokisema? Kwa hiyo mnataka kumwaga damu ya wamasai kule Loliondo ili nafsi za Wazenji zifurahi?Zinatumika sana tuu. Labda wewe ni mgeni nchi hii. Kila uchaguzi dola inamwaga damu Zanzibar. Mbona hushangai?
Una ushahidi wa unachokisema? Kwa hiyo mnataka kumwaga damu ya wamasai kule Loliondo ili nafsi za Wazenji zifurahi?
(November 30, 2021) – The Tanzanian government has not held security forces and aligned militia accountable for killings in Zanzibar during the 2020 elections, Human Rights Watch said today.
Human Rights Watch research has found that at least 14 people died and 55 were injured, as police, soldiers, and armed men in civilian clothes teargassed and shot at crowds, between October 26 and 30, 2020. The armed men also arbitrarily arrested, detained, and tortured opposition supporters on Zanzibar’s main islands of Unguja and Pemba. Neither the Tanzanian central authorities nor Zanzibari authorities have acknowledged, let alone investigated, the full scale and toll of the violence, despite a public outcry within the country, and calls for investigations, including by the United Nations High Commissioner for Human Rights.