Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wamasai wa Ngorongoro wapo Twitter, wapo na Clubhouse, watashindwa kuwa JF?Wamasai wa Ngorongoro wapo JF kweli??
umempa jibu zuri saana🤣🤣🤣Wamasai wa Ngorongoro wapo Twitter, wapo na Clubhouse, watashindwa kuwa JF?
Nitakusaidia kumkumbushahuu ndio ukweli mchungu, labda wewe huna experience na Serikali inavyofanya opereseheni zake
Serikali iingie gharama kujenga nyumba na kuhamisha watu kisha wengine wahamie na wengine wagome?
Tutakuwa hapa JF tutaambiana, tuombe uzima
Ndio hivyo mkuuNitakusaidia kumkumbusha
Anafikiri Serikali ya Samia inapenda umaarufu wa kijinga🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo watu 400 kati ya laki moja no wengi? Au wewe uwingi unapimaje?kwa sasa nimeona Wamasai wengi wakihamishwa na Costa kupelekwa huko Handeni na ng'ombe zao kuhamishwa kwa malori, ikielezwa kuwa wanahama kwa hiyari
Najua kuna amboa wanaweza kuweka msimamo mwanzo mwisho kuwa hawatahama kwa kuwa kuhama ni hiyari
Sasa hawa hawataamini kitakachowakuta, watafanyiwa umafia wa hatari hata huko Handeni wataomba kwenda kwa miguu ila itakuwa too late
Sasa hivi mnaletewa mabasi kwa sababu mpo wengi na serikali haitaki kuonekana bad guys, ila mkibaki wachache serikali itasema wote wameshahama na nyie wachache kitakachowakuta hamtaamini
Mnajiona mnaweza kufanya lolote? Baadaye ikiwa Kinyume, mnajifanya nyuma ya Keyboard.kwa sasa nimeona Wamasai wengi wakihamishwa na Costa kupelekwa huko Handeni na ng'ombe zao kuhamishwa kwa malori, ikielezwa kuwa wanahama kwa hiyari
Najua kuna amboa wanaweza kuweka msimamo mwanzo mwisho kuwa hawatahama kwa kuwa kuhama ni hiyari
Sasa hawa hawataamini kitakachowakuta, watafanyiwa umafia wa hatari hata huko Handeni wataomba kwenda kwa miguu ila itakuwa too late
Sasa hivi mnaletewa mabasi kwa sababu mpo wengi na serikali haitaki kuonekana bad guys, ila mkibaki wachache serikali itasema wote wameshahama na nyie wachache kitakachowakuta hamtaamini
"Kitakacowapata hawataamini" kumbe mnakiri bado tupo kwenye utawala wa kidikteta.
Hao wanaohama waachwe wahame, wasiohama wasisumbuliwe, lakini sio kulazimisha kutoa ardhi yetu kwa mjomba tena kwa mabavu huku chawa mkishangilia.
Mnataka kuwauwa kwa sababu ya uwekezaji kama mlivyowafukia wachimbaji kwenye machimbo ?kwa sasa nimeona Wamasai wengi wakihamishwa na Costa kupelekwa huko Handeni na ng'ombe zao kuhamishwa kwa malori, ikielezwa kuwa wanahama kwa hiyari
Najua kuna amboa wanaweza kuweka msimamo mwanzo mwisho kuwa hawatahama kwa kuwa kuhama ni hiyari
Sasa hawa hawataamini kitakachowakuta, watafanyiwa umafia wa hatari hata huko Handeni wataomba kwenda kwa miguu ila itakuwa too late
Sasa hivi mnaletewa mabasi kwa sababu mpo wengi na serikali haitaki kuonekana bad guys, ila mkibaki wachache serikali itasema wote wameshahama na nyie wachache kitakachowakuta hamtaamini
Mbona mmeshindwa kuwaondoa watu katika bonde la Msimbazi, kama ardhi ni ya serikali?Ardhi yetu iko wapi? Ardhi mali ya serikali.
Ngoja siku ikifika watakumbuka maneno yako. Nakula roshoroo hapa kwa Laizerkwa sasa nimeona Wamasai wengi wakihamishwa na Costa kupelekwa huko Handeni na ng'ombe zao kuhamishwa kwa malori, ikielezwa kuwa wanahama kwa hiyari
Najua kuna amboa wanaweza kuweka msimamo mwanzo mwisho kuwa hawatahama kwa kuwa kuhama ni hiyari
Sasa hawa hawataamini kitakachowakuta, watafanyiwa umafia wa hatari hata huko Handeni wataomba kwenda kwa miguu ila itakuwa too late
Sasa hivi mnaletewa mabasi kwa sababu mpo wengi na serikali haitaki kuonekana bad guys, ila mkibaki wachache serikali itasema wote wameshahama na nyie wachache kitakachowakuta hamtaamini
Haijamuua tuu.Mbona mmeshindwa kuwaondoa watu katika bonde la Msimbazi, kama ardhi ni ya serikali?
Kuna serikali bila wananchi? Kuna serikali bila makubaliano yake na wananchi?
Endelea kukaza FUVU muda utaongea ndiyo kawaulize LOLIONDO NA MACHINGA DAR"Kitakacowapata hawataamini" kumbe mnakiri bado tupo kwenye utawala wa kidikteta.
Hao wanaohama waachwe wahame, wasiohama wasisumbuliwe, lakini sio kulazimisha kutoa ardhi yetu kwa mjomba tena kwa mabavu huku chawa mkishangilia.
Kila mtu anamwisho wake kwanini mtumie silaha kama kitu ni halali mazungumzo yanatoshaMakubaliano yatapatikana tuu hata kwa virungu na mtutu wa bunduki. Dola ina nguvu sana.