Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!
Hichi kitendo wanachofanyiwa wamasai wangorongoro na Loliondo ni sawa na kutaka kuwatoa samaki kwenye maji waishi nchi kavu. Wakati ni asili yao na nimakazi yao waliyopewa na Mungu kama wewe ulivyokuwa na asili yako.
Sasa nawashauri wamasai wote Duniani mfunge na kumuomba Mungu awatete kwa namna yake.
Pili katika mfungo huo hakikisheni munamlaani huyo mtesi wenu na kizazi chake chote kitakacho kuwa hapa Duniani.
Hata mkiondoka hakika moto itakuwa juu ya watesi wenu na Dunia hii watakuwa wanakanya kama kaa la moto katika maisha yao.
Huo ni uonevu wa kumuona binadamu mwingine kama kitu kisichokuwa na thamani.