Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Nimemaanisha nilichokiandika ila pote kuna uonevu..hii jamii inanyanyasika sana mpaka nahisi Mungu anaumia sana juu ya hiliUnamaanisha Loliondo kama nimekuelewa vizuri, maana wa Ngorongoro nafikiri mpaka sasa waliohama ni wale wa hiari tu.
Naona tunarudi kwenye maombiHapo vip!!
Hichi kitendo wanachofanyiwa wamasai wangorongoro na Loliondo ni sawa na kutaka kuwatoa samaki kwenye maji waishi nchi kavu...wakati ni asili yao na nimakazi yao waliyopewa na Mungu kama wewe ulivyokuwa na asili yako...
Aisee laana za wamasai..huwa hazichelewiWamasai hawana hizo dini za kufunga na kuomba.
Muulize Sabaya Lengai dini gani.Aisee laana za wamasai..huwa hazichelewi
Wewe mtoto wa juzi tu kanywe maziwa ulale... Uliza kilichowakuta wamasai wa Loliondo miaka ya mwisho ya tisini baada ya wasomali kuvamia watalii? Sasa utapata majibu ya kwa nini wasomali na iweze wamasai waingie kwenye moto, ndio utaelewa umalaya wa kifikra wa kabila la kimasai.Hapo vip!
Hichi kitendo wanachofanyiwa wamasai wangorongoro na Loliondo ni sawa na kutaka kuwatoa samaki kwenye maji waishi nchi kavu. Wakati ni asili yao na nimakazi yao waliyopewa na Mungu kama wewe ulivyokuwa na asili yako.
Sasa nawashauri wamasai wote Duniani mfunge na kumuomba Mungu awatete kwa namna yake.
Pili katika mfungo huo hakikisheni munamlaani huyo mtesi wenu na kizazi chake chote kitakacho kuwa hapa Duniani.
Hata mkiondoka hakika moto itakuwa juu ya watesi wenu na Dunia hii watakuwa wanakanya kama kaa la moto katika maisha yao.
Huo ni uonevu wa kumuona binadamu mwingine kama kitu kisichokuwa na dhamani.
Sikia wewe...mimi sitishwagi kitoto hivyo...alafu acha kishabiki umaskini ya kuuza raslimali ya nchi...kiongozi anayeuza wananchi na raslimali zake ni shetani na ana awali ya umaskini...ni kiongozi wakutoogobwa hata kidogo...yapaswa akabiliweWewe mtoto wa juzi tu kanywe maziwa ulale... Uliza kilichowakuta wamasai wa Loliondo miaka ya mwisho ya tisini baada ya wasomali kuvamia watalii? Sasa utapata majibu ya kwa nini wasomali na iweze wamasai waingie kwenye moto, ndio utaelewa umalaya wa kifikra wa kabila la kimasai.