Kweli huu ni wasaa adimu wa kurejeshewa zile pointi zenu za Kagera.Wamatopeni a.k.a wazee wakuonewa mpooo!
Yale malalamiko yetu yaleeee na barua zetu zileeee na ubingwa fake wa sisi yebo uleee-mtu sahihi yupo njiani.
Shime manyara a.k.a domo kaya,fasta presidaaa wa FIFA akitimba tu mpeeee.
Kisha,ukumbuke kuwasemea wote wabaomwita OKKI mhenga,sawa?!
Lugha baba...lugha! Kabarua kenyewe hakakujibiwa sababu hakuna aliyejua kimeandikwa nini.Wamatopeni a.k.a wazee wakuonewa mpooo!