Wamatopeni mshindwe wenyewe Rais wa FIFA anajileta mwenyewe!

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
2,032
Reaction score
3,197
Wamatopeni a.k.a wazee wakuonewa mpooo!

Yale malalamiko yetu yaleeee na barua zetu zileeee na ubingwa fake wa sisi yebo uleee-mtu sahihi yupo njiani.

Shime manyara a.k.a domo kaya,fasta presidaaa wa FIFA akitimba tu mpeeee.

Kisha,ukumbuke kuwasemea wote wabaomwita OKKI mhenga,sawa?!
 
Kweli huu ni wasaa adimu wa kurejeshewa zile pointi zenu za Kagera.
 
kuna taratibu zake za kuwasilisha malalamiko...
 
Wamatopeni a.k.a wazee wakuonewa mpooo!

Yale malalamiko yetu yaleeee na barua zetu zileeee na ubingwa fake wa sisi yebo uleee-mtu sahihi yupo njiani.

Shime manyara a.k.a domo kaya,fasta presidaaa wa FIFA akitimba tu mpeeee.

Kisha,ukumbuke kuwasemea wote wabaomwita OKKI mhenga,sawa?!
Lugha baba...lugha! Kabarua kenyewe hakakujibiwa sababu hakuna aliyejua kimeandikwa nini.

Mwadui kaaanza, Kagera Sukari nao wapumzike
 
Back
Top Bottom