GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kwa muktadha wa huu uzi, Wamatumbi ni watu wenye asili ya bara la Afrika.
Wamatumbi wanakiita kile kilichotokea 1963 Zanzibar kuwa ni Mapinduzi tukufu. Sina uhakika kama kweli ni tukufu au ni lugha za kisiasa tu!
Kiuhalisia, hayo Mapinduzi yamekuwa na msaada kwa Wazanzibar? Zaidi ya Waafrika na Waarabu kuruhusiwa kuoana, kuna yapi mazuri zaidi yaliyopatikana Zanzibar baada ya Wamatumbi kukaa kwenye usukani?
Kwa kuwaondosha Waarabu, walifanya vizuri au walikosea?
Kama Waarabu wangeendelea kuongoza, Zanzibar kwa sasa ingeweza kuwa kama Dubai au Morocco?