Wambea mpite hapa

Mamy inawezekana ni lake coz mimi mwenyew nilikuwa kimbau mbau balaa sijulikani tako kiuno wala mgongo nikienda kama narudi ila nikiwa chuo second year nili futuka balaa hisps sijui zilitok wapi na makalio sijui yalitoka wapi.

Yanadondoka?πŸ˜•
 
Ila tutasema yote juu yake aliywsemaga alitumia mchina alipomtambulisha na akatumia akishatutangazia tukajua

So hakuna la kubisha lake ni la mchina. Kama uongo angekana basi...hakukana alikubali maana angekana angeliona jiji labda

Inabidi unielewe sijasema lake ni mchina au sio mchina. Jaribu kupata my point ni kwamba.
1 mtu unaweza ukawa mwembamba sana ila baadae ukanenepa ghafla
2 na makalio kuwa na mabonde bonde ni aina tuu ya unene na wengi wapo ivyo na itaonekana endapo mtu atavaa nguo za kumbana na zenye material ya big g
Mwisho kabisa kama ni mchina au og mimi sijui ila fact ni kwamba izo issue zipo
 
Hahahahaaa, kwakweli na mimi nina mashaka.Ila Mai si alishasema ndio yeye aliyemuuzia?
 
Mie nimekuelewa kwa ulivyoongelea lako hakuna tabu najua hivyo utokeaga. ila lake akitaka kukana itabidi aseme lilikujaje
 
Wenye watoto wa kike jamani kandeni wanenu mapema wakizaliwa wasetini baadae mtajionea yale matundu mawili juu ya mat.ako muhimu

Wasetini hata kuwaweka sawa hips zitakuwaje hamuoni mfano wa SA wengi wao walivyo?
 
Hahahahaaa, kwakweli na mimi nina mashaka.Ila Mai si alishasema ndio yeye aliyemuuzia?

Inaeza ikawa ni kweli au uzushi tuu (siujui ukweli ni upi) ila kumbuka uwoya enzi akiwa oprah na saivi..kumbuka alishashiriki umis na alikuwa mwembamba ila saivi jee.
Nitamuuliza wema hii issue imekaaje afu nitaleta mrejesho
 
Wenye watoto wa kike jamani kandeni wanenu mapema wakizaliwa wasetini baadae mtajionea yale matundu mawili juu ya mat.ako muhimu

Wasetini hata kuwaweka sawa hips zitakuwaje hamuoni mfano wa SA wengi wao walivyo?

Wakianza tu kukomaaa kama kutembea unaona hilooo lipi shwaaa na linakua na mtoto kiaina nzuri kutegemea na ulisetije plus alilobarikiwa na Mungu humo humo, wachache inakuwa baadae baadae
 
Wakianza tu kukomaaa kama kutembea unaona hilooo lipi shwaaa na linakua na mtoto kiaina nzuri kutegemea na ulisetije plus alilobarikiwa na Mungu humo humo, wachache inakuwa baadae baadae

Ya leo nimetoa kali ku editi nimeji kwoti. Poa
 
Inaeza ikawa ni kweli au uzushi tuu (siujui ukweli ni upi) ila kumbuka uwoya enzi akiwa oprah na saivi..kumbuka alishashiriki umis na alikuwa mwembamba ila saivi jee.
Nitamuuliza wema hii issue imekaaje afu nitaleta mrejesho
Uwoya labda kwa kuzaa kuna wengine baada ya kujifungua ndo ushepu unatokeza hatari
 
Uwoya labda kwa kuzaa kuna wengine baada ya kujifungua ndo ushepu unatokeza hatari

Uwoya kwani si kazaa tuu juzi juzi ila tayari alishakuwa mnene enzi anacheza pretty garl na alivyokuja kujifungua shepu ilivurugika now days ndo kawa poa tena
 
Dina inawezekana kabisa...me mwenyewe now niko kama wema wa zamani, supporting documents za kawaida na vihips, mwembambaaa..ila nikijimenya I can see kalio lipo nikinenepa. So hilo lake kabisaaa, ana supporting Doc za chini chini kama memeee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…