auxiliomkina
Member
- Feb 28, 2015
- 60
- 6
Mi napiata tu......hahahahahaaaaa ipo siku atajua madhara yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu tujaribu kuwa wakweli ingawa mapenzi ni upofu
Ivi Huoni tofauti kati ya tako la umiss na hili hapa?
Akina nancy, millen na akina nasreen karem wao ya kwao hayaongezeki
Tuseme ni unene au mazoezi mbona tumbo halinenepi na miguy imestuck.
Wee kiuno kimebaki kilekile tako na mapaja yamekua kwa kasi ya ajabu
Basi ni sababu za kinasaba, mbona wale dada zake hawapo ivo?
Mastaa wa juu wenye guts huwa wanakubali kama wamefanya ukarabati fulani katika maeneno yao.Huo ndio ustar.
Sweetheart wetu hapa alitumia kakitu fulani, ndio maana linashuka afu lina pande nne.
tako mbonyeo.....! milima na mabonde
Haya sasaaa nikireport kutoka insta ni mim Dinazarde
Je Hua Kuna makalio ya ukubwan Tu???
Hahahaaa chezea hamira ya kichina
hapana chezeaa..inaumua hadi unaingia kaburini
Alikua hajapevuka !
Mamy inawezekana ni lake coz mimi mwenyew nilikuwa kimbau mbau balaa sijulikani tako kiuno wala mgongo nikienda kama narudi ila nikiwa chuo second year nili futuka balaa hisps sijui zilitok wapi na makalio sijui yalitoka wapi.
Hahaaaa hyo huwa ipo mbona mwenyewe nilikuaga mwembamba mno yani baada ya mda flani nikajishangaa hips hilo. Hyo Ipo sana tu aisee hasa Mtu akianza Ku ..... For the first time linaumuka hlo.
Ila tako lake halina ushirikiano lina mabonde na milima ndo kupevuka huko na linakaribia kufika magotiniHahaaaa hyo huwa ipo mbona mwenyewe nilikuaga mwembamba mno yani baada ya mda flani nikajishangaa hips hilo. Hyo Ipo sana tu aisee hasa Mtu akianza Ku ..... For the first time linaumuka hlo.
Hiyo huwa inatokea ila huwa wanashepika vizuri sasa mwenzetu hilo tako lina mabonde na milima na halieleweki labda alikuwa nalo sema akaliongeza aende china akaliweke vizuri tuHahahaaa afu kweli mamy mm enz izo nikiwa mwembamba nilikuwa sijawahi ila nilivyoanza tuu nilishepika balaa...
Mamy inawezekana ni lake coz mimi mwenyew nilikuwa kimbau mbau balaa sijulikani tako kiuno wala mgongo nikienda kama narudi ila nikiwa chuo second year nili futuka balaa hisps sijui zilitok wapi na makalio sijui yalitoka wapi.
Hahahaaa afu kweli mamy mm enz izo nikiwa mwembamba nilikuwa sijawahi ila nilivyoanza tuu nilishepika balaa...
Hiyo huwa inatokea ila huwa wanashepika vizuri sasa mwenzetu hilo tako lina mabonde na milima na halieleweki labda alikuwa nalo sema akaliongeza aende china akaliweke vizuri tu
Miili imetofautiana kwa mfano mimi nyama zangu ni ngumu so zinajaa vizuri kawaida ila sister wa mie nyama zake ni laini haswa na zinakuwa kama ngoz ya mtoto mdogo i mean mabonde mabonde...ambayo akitaka zikae vizuri anavyaa tyt special za kushika ayo makalio na hipsi ila akiacha ni mlaini balaa.Kwa hiyo na yako yamekua makubwa yameshuka kama yake?
Hiyo huwa inatokea ila huwa wanashepika vizuri sasa mwenzetu hilo tako lina mabonde na milima na halieleweki labda alikuwa nalo sema akaliongeza aende china akaliweke vizuri tu
Ila tako lake halina ushirikiano lina mabonde na milima ndo kupevuka huko na linakaribia kufika magotini
Miili imetofautiana kwa mfano mimi nyama zangu ni ngumu so zinajaa vizuri kawaida ila sister wa mie nyama zake ni laini haswa na zinakuwa kama ngoz ya mtoto mdogo i mean mabonde mabonde...ambayo akitaka zikae vizuri anavyaa tyt special za kushika ayo makalio na hipsi ila akiacha ni mlaini balaa.
Kwa kweli kila mtu anajua tofauti za miili ata ukiangalia wadada wengi wanaovaa izi tiyt iz nyepesi utagundua.
Sema kwa wema yy zake zinaonekana vile coz havai skin tyt ndani anavaa chupi tuu sijui bikin afu juu anavaa ya kubana