Wambea mpite hapa

Wambea mpite hapa

Ebu tujaribu kuwa wakweli ingawa mapenzi ni upofu
Ivi Huoni tofauti kati ya tako la umiss na hili hapa?
Akina nancy, millen na akina nasreen karem wao ya kwao hayaongezeki
Tuseme ni unene au mazoezi mbona tumbo halinenepi na miguy imestuck.
Wee kiuno kimebaki kilekile tako na mapaja yamekua kwa kasi ya ajabu
Basi ni sababu za kinasaba, mbona wale dada zake hawapo ivo?
Mastaa wa juu wenye guts huwa wanakubali kama wamefanya ukarabati fulani katika maeneno yao.Huo ndio ustar.
Sweetheart wetu hapa alitumia kakitu fulani, ndio maana linashuka afu lina pande nne.

yawezakana huyu bidada amefanya manuvaaa kwenye hilo lijishepu maana karibia hipsi linafika mapajan... kama dada zake wa kwa Obama wamefanya ma-surgery atashindwa huyu drama queen aliyekwea China kutengeneza ngozi yake aliyojikoroga!!!
 
tako mbonyeo.....! milima na mabonde
 
Alikua hajapevuka !

Kuna watu kweli baada ya kupevuka huongezeka mwili hips na wezere. Hyo ipo kabisa alivokua miss alikua mwembamba na dalili za hips kwa umbali.
Unaweza kuta lake mana hata mamake mashaaalah.
 
Mamy inawezekana ni lake coz mimi mwenyew nilikuwa kimbau mbau balaa sijulikani tako kiuno wala mgongo nikienda kama narudi ila nikiwa chuo second year nili futuka balaa hisps sijui zilitok wapi na makalio sijui yalitoka wapi.

Hahaaaa hyo huwa ipo mbona mwenyewe nilikuaga mwembamba mno yani baada ya mda flani nikajishangaa hips hilo. Hyo Ipo sana tu aisee hasa Mtu akianza Ku ..... For the first time linaumuka hlo.
 
Hahahaaa afu kweli mamy mm enz izo nikiwa mwembamba nilikuwa sijawahi ila nilivyoanza tuu nilishepika balaa...
 
Ila tako lake halina ushirikiano lina mabonde na milima ndo kupevuka huko na linakaribia kufika magotini
 
Hiyo huwa inatokea ila huwa wanashepika vizuri sasa mwenzetu hilo tako lina mabonde na milima na halieleweki labda alikuwa nalo sema akaliongeza aende china akaliweke vizuri tu
 
Hyo ipo kabisa aisee hutokea kwa wadada wengine. Kuna mdada alikuaga mwembamba wa kutisha baada ya kuolewa na kua na watoto alinenepa akawa na shape matata na hips la hatari.
 
Hiyo huwa inatokea ila huwa wanashepika vizuri sasa mwenzetu hilo tako lina mabonde na milima na halieleweki labda alikuwa nalo sema akaliongeza aende china akaliweke vizuri tu

Kwa hiyo na yako yamekua makubwa yameshuka kama yake?
Miili imetofautiana kwa mfano mimi nyama zangu ni ngumu so zinajaa vizuri kawaida ila sister wa mie nyama zake ni laini haswa na zinakuwa kama ngoz ya mtoto mdogo i mean mabonde mabonde...ambayo akitaka zikae vizuri anavyaa tyt special za kushika ayo makalio na hipsi ila akiacha ni mlaini balaa.
Kwa kweli kila mtu anajua tofauti za miili ata ukiangalia wadada wengi wanaovaa izi tiyt iz nyepesi utagundua.
Sema kwa wema yy zake zinaonekana vile coz havai skin tyt ndani anavaa chupi tuu sijui bikin afu juu anavaa ya kubana
 
Hiyo huwa inatokea ila huwa wanashepika vizuri sasa mwenzetu hilo tako lina mabonde na milima na halieleweki labda alikuwa nalo sema akaliongeza aende china akaliweke vizuri tu

Ila tako lake halina ushirikiano lina mabonde na milima ndo kupevuka huko na linakaribia kufika magotini

Hahaaaaa uwiiiii hlo lake kweli sijui mana kuna sehemu lime bonyea sasa hapo ndo sielewi. Halina ushirikiano.
Ila kuna watu hubadilika kabisa bila hata mchina wowote nimewashuhudia kabisa na linakua tu ka kwenu ni nature ya mawezere.
 
Miili imetofautiana kwa mfano mimi nyama zangu ni ngumu so zinajaa vizuri kawaida ila sister wa mie nyama zake ni laini haswa na zinakuwa kama ngoz ya mtoto mdogo i mean mabonde mabonde...ambayo akitaka zikae vizuri anavyaa tyt special za kushika ayo makalio na hipsi ila akiacha ni mlaini balaa.
Kwa kweli kila mtu anajua tofauti za miili ata ukiangalia wadada wengi wanaovaa izi tiyt iz nyepesi utagundua.
Sema kwa wema yy zake zinaonekana vile coz havai skin tyt ndani anavaa chupi tuu sijui bikin afu juu anavaa ya kubana

Ila tutasema yote juu yake aliywsemaga alitumia mchina alipomtambulisha na akatumia akishatutangazia tukajua

So hakuna la kubisha lake ni la mchina. Kama uongo angekana basi...hakukana alikubali maana angekana angeliona jiji labda
 
Back
Top Bottom