Kuna watu kweli baada ya kupevuka huongezeka mwili hips na wezere. Hyo ipo kabisa alivokua miss alikua mwembamba na dalili za hips kwa umbali.
Unaweza kuta lake mana hata mamake mashaaalah.
Dina inawezekana kabisa...me mwenyewe now niko kama wema wa zamani, supporting documents za kawaida na vihips, mwembambaaa..ila nikijimenya I can see kalio lipo nikinenepa. So hilo lake kabisaaa, ana supporting Doc za chini chini kama memeee...
Hahaaaa hyo huwa ipo mbona mwenyewe nilikuaga mwembamba mno yani baada ya mda flani nikajishangaa hips hilo. Hyo Ipo sana tu aisee hasa Mtu akianza Ku ..... For the first time linaumuka hlo.
mamaake sio mashaalah Bana Kuna kina mama wameumbika balaaa,
Haya kwa hiyo na miguu yake haijajaa hata kidogo kama hips zimeongezekaa na hapo utasemajee
wangeumuka wengiii mno kama ni hivyooo,hadi miss chagga angeumuka nae kama ni hivyo hhhhhaaa
warumi, nifah, dinaz pita mmu niweka picha ya madhara makalio ya kichina
warumi, nifah, dinaz pita mmu niweka picha ya madhara makalio ya kichina
hhhhhhhaaaaaaa jamaniiii kichuguu SI kichuguuuu lo
ni kweli Kuna watu wakiwa wembamba Hua wanakishape fulan hivi ,wakinenepa hujaa vizuri hips na kalio,na miguu,sasa huyu miguu mbona haijapata afya???yaan kalio Tu pekee khaaa
Hahahaaaaa... ujue Dinazarde ukisimamia ivyo vigezo vyako bado si sababu ya kuwa ule ni mchina. May be unaweza ukawa ni mchina ndio sikatai ila sio kwa vigezo unavyovitumia....
Watu wengi ni wanene na miguu ni hewa kabisa wapo sema surual zinawastiri.
Labla kama kuna vigezo vingine ila kwa kila kinacho happen kweny shep ya wema ni vya kawaida ata mtaani wapo watu wa ivyo
Kuna kuumbika n shapu wema tako n hips zimeumukaa hazina uelekeo