Wambea mpite hapa

Wambea mpite hapa

Hahahahahaaa uwiiiiii! Nyie washenzi Ms.Lincoln na cute b nitawapiga fine ya kuvunja mbavu zangu mjue?
Wallah nimecheka hadi machozi...
Mbona huu ubuyu watu wanapita kimyakimya jamani? Kulikoni?
Halafu hilo la bibie kuwa na mimba nilihisi nikataka kusema basi tu nikapotezea.
Hilo linawezekana kabisa...kama mwanae asingekua star nadhani angemzalia mahabuba wake ila kakwepa aibu ya kubeba mimba pamoja na mkwe wake a.k.a kikongwe mwenzie..lol

Shoga la mimba itakuwa ni kweli maana iyo kipind alikuwa hovyo hovyo sana root za hosp haziishi
 
Last edited by a moderator:
Shoga la mimba itakuwa ni kweli maana iyo kipind alikuwa hovyo hovyo sana root za hosp haziishi

Isijekua ndio maana domo alisema kua yupo kwenye matatizo makubwa ya family? Kumbe mama alikua na mimba?
Kweli ana haki ya kuchanganyikiwa.
 
Isijekua ndio maana domo alisema kua yupo kwenye matatizo makubwa ya family? Kumbe mama alikua na mimba?
Kweli ana haki ya kuchanganyikiwa.

Ndio ivyoo chezea mama kubeba mimba za uzeeni wew..
 
Mama yake sukariguru ya warembo wote hapa east africa, a.k.a kisu a.k.a serengeti boi wa Zarina, mla makombo ya Ivan...
Mamake, alikua ana kiserengeti boi chake kakifanya kama kihouseboi, sasa mateso yamezidi akaona isiwe tabu kazi kudeki na kutumikishwa tu.
Si akaenda kuo, sasa bibie kamtuma dada yake ambembelezee kijana arudi kwa mama.Sasa bidada akasema ataandamana kijana swalehe arudi, chezeya mahaba wewee...utaumwa ugonjwa hewaaa!
Sasa kijana akamrekodi bwanaaa
Haa, si wambeya wakaipata iyo voiceclip...ni sheeda Dinazarde, Kimbley, mzurimie
Mjue umbeya ni umbeya tu, mbona sioni kama mmeumung'unua huu au una pilipili nyingi??

hata huo umbea haujanisisimua ILA nimeshangaa kuchukua kijana mdogo,ILA ndio kina mama wa siku hiz hao hata sishangaiii,ILA anamuaibisha mwanae jamaniii
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa kaone vilee.....afu sijakuambia bosi kachukua tuzo ya muigizaji wa kike anaopendwa kuliko wote tz? Ni siiiiingidaaa
Anapendwa na nyie panya road ha ha ha, asipopewa tuzo ya UIGIZAJI mie mwenyewe ntaadama make wema wenyewe ni IGIZO tosha maisha ake maigizo tupuuuuu Dinazarde atanisaidia kua drama
 
Last edited by a moderator:
Mama yake sukariguru ya warembo wote hapa east africa, a.k.a kisu a.k.a serengeti boi wa Zarina, mla makombo ya Ivan...
Mamake, alikua ana kiserengeti boi chake kakifanya kama kihouseboi, sasa mateso yamezidi akaona isiwe tabu kazi kudeki na kutumikishwa tu.
Si akaenda kuo, sasa bibie kamtuma dada yake ambembelezee kijana arudi kwa mama.Sasa bidada akasema ataandamana kijana swalehe arudi, chezeya mahaba wewee...utaumwa ugonjwa hewaaa!
Sasa kijana akamrekodi bwanaaa
Haa, si wambeya wakaipata iyo voiceclip...ni sheeda Dinazarde, Kimbley, mzurimie
Mjue umbeya ni umbeya tu, mbona sioni kama mmeumung'unua huu au una pilipili nyingi??

Niandike nini mie wakati wametengeneza wangerekodi kideo haya weeee

Kingine ninaheshim mtu mzazi kama navyotaka kuheshimiwa juu ya wanangu na haobwanaotamani dushe.lele la Diamond watahangaika sana tu yeye kashafika mwisho wa reli.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa, naona mama kachoka sana.Ukichangia na kijana kuoa tena ndio kazidi kuchanganyikiwa!

Ataachaje kuchanganyikiwa inauma mno aisee. Ndo mana Christian Bella mzee wa masauti aliimba kuachwa ni shuguli mbaya zaidi kwa yule unaye mpenda we we unakufa na mawazo na kukonda yeye ajali kitu.
 
Niandike nini mie wakati wametengeneza wangerekodi kideo haya weeee

Kingine ninaheshim mtu mzazi kama navyotaka kuheshimiwa juu ya wanangu na haobwanaotamani dushe.lele la Diamond watahangaika sana tu yeye kashafika mwisho wa reli.

Andika chochote roho yangu itulie.
 
Tako la wema lina nikumbusha mwalimu wangu wa hesabu alivokwa ananifundisha trapezium na hexagone!
 
Hahaaaa hyo huwa ipo mbona mwenyewe nilikuaga mwembamba mno yani baada ya mda flani nikajishangaa hips hilo. Hyo Ipo sana tu aisee hasa Mtu akianza Ku ..... For the first time linaumuka hlo.

Nyie watoa ushuhuda wa maumbile yenu hivi mnajuwa mnavyonikosha? Ngoja niwafatie huko huko pm
 
Caption.
 
Attachments

  • 1434033253919.jpg
    1434033253919.jpg
    58.8 KB · Views: 237
Back
Top Bottom