Wambea mpite hapa

Wambea mpite hapa

wangeumuka wengiii mno kama ni hivyooo,hadi miss chagga angeumuka nae kama ni hivyo hhhhhaaa

mwenzangu labda mimi na gundu .. niliekewa hadi diet ya kula samaki wa mwanza eti wanaleta makalio loh shoga wewe niliingia hasara na kalio halikuja ... mmh
 
hhhhhaaaa hivi shoga yangu Princess sayuni alipotelea wapi nammisi jamanii lo,,

Tena wewe ni mbea namba moja ndio umewah kuja teh teh,hii kalii yaan shepu inakuja baadae hii kali
Cc Evelyn Salt

Mbona yumo humu na anacomment thread kibao hata hii yupo angalia miandiko
 
Last edited by a moderator:
Mbona yumo humu na anacomment thread kibao hata hii yupo angalia miandiko

niambie basii nasikia kabadili jina lo,sasa HIV naangalia miandiko Tu yaan kama natokwa rohoo,,,,Hivi mtu akibadili username unajuaje
 
acha tu mae mtu kunigeuza mtaji balaaa... nimeamua kulridhika na hiki hiki kikalio changu

nimeona Rayc analia et kanyimwa dawa lol analiajeee huku anajirekod huku analia na kuongea,kaweka insta warumi ukujeee
 
Last edited by a moderator:
Ile video nimeangalia aibu naona mimi...

jaman lo anasema mifupa inamuuma anasikia baridi,,et hiyo dawa methadone ni kama ulevi ILA inawasaidia Tu ,ndio maana aspochoma analia hivyo ,mi huku kijijin najua hayo basii,
 
Khakhakhaaaaaa like like like.. Yani umenichekesha mpaka bas
 
Mange aponda nguo aliyovaa mdogo wake Wema wa kujipendekeza kuitwa dada. Kisa kachukia kwa nini hakuoda kutoka kwake na kaenda kushona kwa Eve Collections eti kalipia millioni moja kwa nini hakuigiza ulaya.

Eti waache kusapoti wa TZ wanaoshona, halafu nguo nzuriii
 
Mhhh mbona nguo ilikuwa nzuri tu, na alipendeza dada wa watu khaaaa.
 
Back
Top Bottom