Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Umepotea njiaDuh, Brighton wanapata goli muda huu, am so happy cuz nilibet kila timu ipate goli
Huyu mtu warumi yupo wapi? Nina muda mrefu sana simuoni humu. Nime mmiss sana.Nimemkumbuka ghafla Warumi kwenye mambo hot hot kama haya
Labda mashart ya kalumanzilaNdoa ya siri hivyo ya nini sasa
Kalumanzila huyoo kibokoLabda mashart ya kalumanzila
Ndio wakimaliza ndoa na vimiradi vyao vinakuwa.kwa sana [emoji12]Kalumanzila huyoo kiboko
warumi angeenda hadi kwao uwoya kufatiliaNimemkumbuka ghafla Warumi kwenye mambo hot hot kama haya
Wakitoka kwenye ukumbi si wangesema tuu!!! Hivi Janjaro ni Mwislam eeh!!!Wageni rasmi walinyang'anywa simu jomonii.……ndo maana umbea haujavuja lol
Ha ha ha ha ,yule kiboko aiseewarumi angeenda hadi kwao uwoya kufatilia
Ndio Muslim...ila ngoja nitamsaka jirani wake wa chugga ni uthibitishe huu ubuyu..ila janjaro nasikia ana licassava likubwaaa mpaka limemchanganya mutuuuWakitoka kwenye ukumbi si wangesema tuu!!! Hivi Janjaro ni Mwislam eeh!!!