Wambea woteee chaliiiiiii ;Soudy Brown aahidi kuacha umbea ikitokea Uwoya na Janjaro ni mke na mume.

Wambea woteee chaliiiiiii ;Soudy Brown aahidi kuacha umbea ikitokea Uwoya na Janjaro ni mke na mume.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Wambea wa mjini wote mpaka sasa wanaumiza kichwa kuhusu ndoa inayosemakana kati ya Janjaro na Irene Uwoya.

Mpaka sasa hakuna uthibitisho wowote uliopatikana ambao unaonesha kwa namna moja au nyingine kwamba janjaro na uwoya kwa sasa ni mwili mmoja.

Rais wa wambea wote duniani Soudy Brown ameahidi kuacha umbea rasmi kama itatokea ikathibitika kwamba Janjaro anakula utamu wa Uwoya



Screenshot_2017-10-29-17-21-39.jpg


Ila huyu Uwoya na Janjaro wametuweza kweli wambea wote kuanzia wa humu jamiiforums mpaka wambea wenzangu wa Insta [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Ngoja tuone muendelezo wa muvi yao
 
waandishi wa habari wa kujitegemea waliokuwa wanamfuata G.W. Bush jr walijikuta wamemakatwa na kupokonywa vitendea kazi vyao vyote hadi simu kisha Bush akwea ndege ya mizigo badala ya airforce one na kutua Iraq kuwapa moyo vijana wake waliokuwa kazini dhidi ya majeshi ya Saadam Hussein.
Kukamatwa kwa waandishi kulifanya safar ya Bush iwe siri had anatua Iraq na kuwasalim wanajeshi wake chini ya Gen. Ramsfeld.
Uwoya kawaweza sana kwa hii Bushiological technique
 
Wageni rasmi walinyang'anywa simu jomonii.……ndo maana umbea haujavuja lol
 
Kama kweli uwoya kaolewa na janjaro... Nimemshusha vyeo leo na kesho peponi msiiiiiiiieeeew
 
Huyu mtu warumi yupo wapi? Nina muda mrefu sana simuoni humu. Nime mmiss sana.
Moderators walimuandama andama sana kipindi fulani akaamua afungue id nyingine ya Galton napo ban zikawa haziishi akaona isiwe kasi ngoja apite kimya kimya tu
 
Wakitoka kwenye ukumbi si wangesema tuu!!! Hivi Janjaro ni Mwislam eeh!!!
Ndio Muslim...ila ngoja nitamsaka jirani wake wa chugga ni uthibitishe huu ubuyu..ila janjaro nasikia ana licassava likubwaaa mpaka limemchanganya mutuuu
 
Back
Top Bottom