Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ni lake kweli?Ndio Muslim...ila ngoja nitamsaka jirani wake wa chugga ni uthibitishe huu ubuyu..ila janjaro nasikia ana licassava likubwaaa mpaka limemchanganya mutuuu
Cassava tu jamaaaaniiNdio Muslim...ila ngoja nitamsaka jirani wake wa chugga ni uthibitishe huu ubuyu..ila janjaro nasikia ana licassava likubwaaa mpaka limemchanganya mutuuu
Ni kweli shogaa na ule urefu kama mkojo lazima uchangie lile jicassava kuwa kubwa eti hahaaha.Sasa huyu dimpoz si kaweka kitu kupotezea kale kaissue chake.Ni lake kweli?
Kuna macassava ya kuvaa pia, alishalivaa ommy dimpoz, na Martin kadinda wanatoa watu mate kumbe dude la bandia
View attachment 619867
Yes unakumbuka kile kibwagizo cha Tecno...I have a big Cassava baby pana!!Cassava tu jamaaaanii
Umenichekesha sana, niko kufanya Mazoezi ili niondoe hiki kibamia!! Sasa issue ya umbea, jamaa kaingiza mpira nimecheka sana. Na jinsi ulivyomjibu nimecheka mpaka kibamia kimeshtuka.Umepotea njia
Haha [emoji23]Yes unakumbuka kile kibwagizo cha Tecno...I have a big Cassava baby pana!!
Kama una hamu NA cassava la ukwel nifuate MP tafadhaliNi lake kweli?
Kuna macassava ya kuvaa pia, alishalivaa ommy dimpoz, na Martin kadinda wanatoa watu mate kumbe dude la bandia
View attachment 619867
[emoji87]Ni lake kweli?
Kuna macassava ya kuvaa pia, alishalivaa ommy dimpoz, na Martin kadinda wanatoa watu mate kumbe dude la bandia
View attachment 619867
hii ngoma ipo hivi janjaro ameowa kweli but mke mwingine sio uwoya na irene alienda kumsabahi coz dogo ni rafiki yake ndipo wakapata idea ya kufanya kiki na ndio maana simu hazikuruhusiwa hiyo ni kiki tu ila janjaro ile ilikuwa ndoa yake kweliWambea wa mjini wote mpaka sasa wanaumiza kichwa kuhusu ndoa inayosemakana kati ya Janjaro na Irene Uwoya.
Mpaka sasa hakuna uthibitisho wowote uliopatikana ambao unaonesha kwa namna moja au nyingine kwamba janjaro na uwoya kwa sasa ni mwili mmoja.
Rais wa wambea wote duniani Soudy Brown ameahidi kuacha umbea rasmi kama itatokea ikathibitika kwamba Janjaro anakula utamu wa Uwoya
View attachment 619845
Ila huyu Uwoya na Janjaro wametuweza kweli wambea wote kuanzia wa humu jamiiforums mpaka wambea wenzangu wa Insta [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ngoja tuone muendelezo wa muvi yao
Acha buanaNdio Muslim...ila ngoja nitamsaka jirani wake wa chugga ni uthibitishe huu ubuyu..ila janjaro nasikia ana licassava likubwaaa mpaka limemchanganya mutuuu
Moderators walimuandama andama sana kipindi fulani akaamua afungue id nyingine ya Galton napo ban zikawa haziishi akaona isiwe kasi ngoja apite kimya kimya tu