Wambea woteee chaliiiiiii ;Soudy Brown aahidi kuacha umbea ikitokea Uwoya na Janjaro ni mke na mume.

Wambea woteee chaliiiiiii ;Soudy Brown aahidi kuacha umbea ikitokea Uwoya na Janjaro ni mke na mume.

Ndio Muslim...ila ngoja nitamsaka jirani wake wa chugga ni uthibitishe huu ubuyu..ila janjaro nasikia ana licassava likubwaaa mpaka limemchanganya mutuuu
Ni lake kweli?
Kuna macassava ya kuvaa pia, alishalivaa ommy dimpoz, na Martin kadinda wanatoa watu mate kumbe dude la bandia
picha ya ommy dimpoz.jpg
 
Ndio Muslim...ila ngoja nitamsaka jirani wake wa chugga ni uthibitishe huu ubuyu..ila janjaro nasikia ana licassava likubwaaa mpaka limemchanganya mutuuu
Cassava tu jamaaaanii
 
No
Ni lake kweli?
Kuna macassava ya kuvaa pia, alishalivaa ommy dimpoz, na Martin kadinda wanatoa watu mate kumbe dude la bandia
View attachment 619867
Ni kweli shogaa na ule urefu kama mkojo lazima uchangie lile jicassava kuwa kubwa eti hahaaha.Sasa huyu dimpoz si kaweka kitu kupotezea kale kaissue chake.
 
Soudy akistaafu ajue ndo ugali wake uko pale
 
Kama ni kweli kuna haja ya janjaro kujiridhisha afya ya huyo muke yake mana duuu
 
Wambea wa mjini wote mpaka sasa wanaumiza kichwa kuhusu ndoa inayosemakana kati ya Janjaro na Irene Uwoya.

Mpaka sasa hakuna uthibitisho wowote uliopatikana ambao unaonesha kwa namna moja au nyingine kwamba janjaro na uwoya kwa sasa ni mwili mmoja.

Rais wa wambea wote duniani Soudy Brown ameahidi kuacha umbea rasmi kama itatokea ikathibitika kwamba Janjaro anakula utamu wa Uwoya

View attachment 619845

Ila huyu Uwoya na Janjaro wametuweza kweli wambea wote kuanzia wa humu jamiiforums mpaka wambea wenzangu wa Insta [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Ngoja tuone muendelezo wa muvi yao
hii ngoma ipo hivi janjaro ameowa kweli but mke mwingine sio uwoya na irene alienda kumsabahi coz dogo ni rafiki yake ndipo wakapata idea ya kufanya kiki na ndio maana simu hazikuruhusiwa hiyo ni kiki tu ila janjaro ile ilikuwa ndoa yake kweli
 
Ndio Muslim...ila ngoja nitamsaka jirani wake wa chugga ni uthibitishe huu ubuyu..ila janjaro nasikia ana licassava likubwaaa mpaka limemchanganya mutuuu
Acha buana
 
Si ameolewa na mkongomani au yusufu nani sijui
 
Moderators walimuandama andama sana kipindi fulani akaamua afungue id nyingine ya Galton napo ban zikawa haziishi akaona isiwe kasi ngoja apite kimya kimya tu

Wapenda ubuyu itabidi tuandamane ,nyie moderators vipiii tunataka Warumi, bring back Warumi.Huko majukwaa ya siasa mbona watu wanatoleana mapovu kibao na mahabari ya uongo lakini hamuwapigi maban?
 
Back
Top Bottom