Nchiyaahadi
New Member
- Dec 16, 2022
- 4
- 3
Ok vizuri na hongera sana,,,umepanda/unapenda mkoa gan na matokeo yapoje??na vip minimum no ya Miche unayoweza kuagiza ktk kwao?means ya usafiri ?gharama ya usafiri roughly,, natanguliza shkran[emoji120][emoji120][emoji120]Nimeshafanya naye biashara nilinunua kwa pesa ya kenya, Nilimfuata shambani kwao na nilikutana na baba yake, na hata baada ya kurudi na kuotesha nilionge Tanzania nilishaagiza miche mara tatu kwa hiyo bei ukinunua mingi ukimuomba naamini atakupunguzia
Sent using Jamii Forums mobile app