Wambugu Apple, kutoka kwa Peter Wambugu

Ok vizuri na hongera sana,,,umepanda/unapenda mkoa gan na matokeo yapoje??na vip minimum no ya Miche unayoweza kuagiza ktk kwao?means ya usafiri ?gharama ya usafiri roughly,, natanguliza shkran[emoji120][emoji120][emoji120]


Sent using Jamii Forums mobile app
 

..naomba link ya youtube ya shamba unalolizungumzia.
 
Hata pale Arusha Kuna kampuni inaitwa Maua mazuri, wanazalisha Miche ya migomba. Ni mizuri sana.
Iringa(eneo la Ifunda) Kuna kampuni ya wazungu wanazalisha Miche ya apple varieties nyingi tu. Wanatoa elimu kwa vitendo(shambani) na bei zao Dec 2023 ilikuwa 8500/ kwa mche. Wako vizuri mno.
 
Ksh 1,000 ni sawa na Tsh 15,000 hadi 18,000 kwa mche, huu ni utapeli sio biashara.
Utapanda miche mingapi ili urudishe pesa yako?
Unachimbia 18,000 ardhini plus matunzo hadi muda wa kuvuna, hiyo 18,000 baada ya miaka 5 itazaa mamilioni kibao
Tam Tam Iringa wanauza 8500/ mche wa Apple. Nimeona Miche mnawaailiana wanakutumia kwa bus usafiri ni juu yako.
 
Tam Tam Iringa wanauza 8500/ mche wa Apple. Nimeona Miche mnawaailiana wanakutumia kwa bus usafiri ni juu yako.
Wale ni wahuni, wanauza miche wakijua fika inastawi maeneo ya baridi pekee na ukilalamikabaadae wanasema eneo lakosio sahihi, niliona kuna mtu yuko Dodoma alinunua kitambo na haijazaa sasa kulalamika wakamwambia Dodoma hapafai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…