Ni jirani na swahiba wangu...
Anamiliki pikipiki nzuri ya kileo...
ana vidli kadhaa ambavyo vinampa hela ya kuishi town...
anajua madem wote mtaani... wake za watu hadi vident na bwana zao...
akiona dem tu..... hata kamaanakwea daladala.....ataacha pikipiki yake..anakwea daladala na anakula sahani moja na demu...hata ama ana bwana wake... hata kama wanaeda chanika...!!!Alishauzwa mara kadhaa tu (na warembo wa Kwa macheni) magomeni kwa vibaka wakamlamba chapaa, simu na vtu vingine...ila hajawahi kufumaniwa!
huwa akinipa stori zake...nakosaga comment nabaki mbavu sina!!!
nitamsaidiaje mtu ka huyu?