wamchukuliaje huyu...!!

wamchukuliaje huyu...!!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
2,469
Reaction score
284
Ni jirani na swahiba wangu...
Anamiliki pikipiki nzuri ya kileo...
ana vidli kadhaa ambavyo vinampa hela ya kuishi town...
anajua madem wote mtaani... wake za watu hadi vident na bwana zao...

akiona dem tu..... hata kamaanakwea daladala.....ataacha pikipiki yake..anakwea daladala na anakula sahani moja na demu...hata ama ana bwana wake... hata kama wanaeda chanika...!!!Alishauzwa mara kadhaa tu (na warembo wa Kwa macheni) magomeni kwa vibaka wakamlamba chapaa, simu na vtu vingine...ila hajawahi kufumaniwa!

huwa akinipa stori zake...nakosaga comment nabaki mbavu sina!!!

nitamsaidiaje mtu ka huyu?
 
wala usijaribu kukufanya lolote maana atakuona unamuona sio.ngoja akiamka na kutaka ushauri then ndio uanzae jitihada za kumsaidia.otherwise ukijipendekeza kuanza kumsaidia ataanza kusema unamfatilia.wahenga wanasema usimuamshe alielala....acha mpaka aamke mwenyewe then akiomba msaada ndio umsaidie
 
Mwambie awahi Muhimbili amuone Prof Kilonzo au aende Dodoma pale Mirembe Hospital kwa ushauri zaidi
 
Endelea kuvunja mbavu ! kwa afya yako.
 
Back
Top Bottom