Wameamua kuweka wazi kabisa

Wameamua kuweka wazi kabisa

Am the One

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2018
Posts
903
Reaction score
892
Wakuu habari za jpili.
Screenshot_2019-04-14-21-20-25.jpg


Remember, your mind is greatest asset.
 
Huyo spika wenu ndiye anampa rais wakati mgumu maana anaonekana kuwa na kiburi sana, inakuaje watu wote wapo kwenye upande wa CAG lakini haoni hilo. Hata JF CCM brigade naona raundi hii wapo upande wa CAG.
Lakini kawaida spika kwenye nchi zetu hizi huwa na uwezo mkubwa sana hata wa kumzingua rais, hivyo huyo CAG itabidi asalimu amri na kushuka na kumpisha mwenye nguvu.
 
Hahaha nakumbuka ktk interview ya kwanza alijitamba ya kuwa bunge ndio boss wa CAG lkn ajabu boss hawezi kumfukuza mfanyakazi wake hii ni ajabu
 
Back
Top Bottom