Wameanza kugombania Power, ukweli umekaribia!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Hata ipite miaka 1000 bado tutatafuta ukweli, Raisi Magufuli (RIP) ni kama J.F. Kennedy wa USA.

Kugombania kwenu power kutawafanya mchukiane na kuchukiana mmeanza, 2025 patachimbika na hii ni pande zote sehemu ya CCM na washirika wake Chadema na akina Zito Kabwe.

They threw Mbowe under the bus …
 
Magu alikuwa katili sana
 
Back
Top Bottom