Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa hawalitaki bunge wanasusa na kutoka nje. Sasa wananchi wamewatoa jumlajumla.Kwanza hayo ni mambo ya ndani ya CCM myinyi hayawahusu.Ngojeni mpangiwe tu. Siku za nyuma angalau mlikuwa mnatoka nje ya bunge au kufunga maplasta midomoni.Sasa hivi mtafanya nini zaidi ya kumfuata Lema na Lissu huko walipo .
Sure acha yafe yote maana ni majangiliWauane kabisa mamaaako
Ukirudia tena kusoma kwa utulivu utaelewa.
Jenga taswira na Picha