Wameanza kumkumbuka Gamond

Wameanza kumkumbuka Gamond

Kocha ametolewa kimuhemko!
Maamuzi yakibinafsi sanaaa!
Gamondi hata kama alikuwa namakosa, kulikuwa na namna ya kwenda nae hadi mwisho wa msimu ndio maamuzi makubwa ya namna ile yafanyike.
Hichi ndio yanga wakitegemee, mpira mbovu, matokeo mabovu!
Washapigwa mbili tayari.

Ubaya Ubwela
 
Jiandae kupiga kura kesho usijesema umeibiwa achana na mambo ya Gamondi sio raia wa Tz yule.
 
Mashine ya Kijerumani
FB_IMG_17326133089462124.jpg
 
Ndio matokeo ya mpira nyie tulieni kila mtu acheze mechi zake hata stars alifungwa haha na congo lakini alifanikiwa kufuzu kwenda afcon
 
Back
Top Bottom