Wameanza kuomba tender ya kuchonga Sanamu la Hayati Magufuli kwa ku-present kazi walizofanya awali

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mbona ni kama wamefufuka kutoka kwa wafu
 
Tuacheni aiseeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Milioni 420 itapendeza.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ila serikalini kuna upigaji mkubwa sana, kitu cha kutumia labla 100m lakini utaambiwa ni 300m
 
Duuh!! Hawa waliochonga wangebakia wanunuaji tu.
 
Si wampe kigwangwala anajua wataalamu wa kutengeneza hayo masanamu,hamkumbuki ile ya nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…