Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
Nakumbuka kule Mwanza, ilichongwa sanamu ya Mwalimu Nyerere na kuwekwa round about pale CCM mkoa, watu wakaikataa na kudai ni sanamu ya mtu mmoja maarufu pale Mwanza, aitwae MASALAKULANGWA! Hatimaye iliondolewa!Si wampe kigwangwala anajua wataalamu wa kutengeneza hayo masanamu,hamkumbuki ile ya nyerere
Khaaa! Hilo sanamu mbona Kama SINAJINA?