PreGE2025 Wameanza kuombewa na Masheikh mixa Wachungaji, muda si mrefu waganga wanarudi kwenye soko. October pamoto!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Waziri wa Mawasiliano na Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Silaa, amefanyiwa Maombi, kuombewa Dua na kuchangiwa Fedha ya kuchukua Fomu Jimboni ukonga

Nawashukuru sana sana sana wenyeviti wa serikali za mitaa wa Tarafa ya Ukonga hususan Jimbo la...jpg

"Nawashukuru sana sana sana wenyeviti wa serikali za mitaa wa Tarafa ya Ukonga hususan Jimbo la Ukonga kwa upendo wao, kunichangia fedha za fomu, kunisalia ,kuniombea dua na kuniahidi kuniunga mkono.

Wamekumbuka tulivyopambana pamoja 2024 na kushinda mitaa yote 70 ya Jimbo la Ukonga.

Kauli mbiu yao, “unayeokota nae kuni ndio utayeota nae moto”-Jerry Silaa

​
 
Waziri wa Mawasiliano na Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Silaa, amefanyiwa Maombi, kuombewa Dua na kuchangiwa Fedha ya kuchukua Fomu Jimboni ukonga

"Nawashukuru sana sana sana wenyeviti wa serikali za mitaa wa Tarafa ya Ukonga hususan Jimbo la Ukonga kwa upendo wao, kunichangia fedha za fomu, kunisalia ,kuniombea dua na kuniahidi kuniunga mkono.

Wamekumbuka tulivyopambana pamoja 2024 na kushinda mitaa yote 70 ya Jimbo la Ukonga.

Kauli mbiu yao, “unayeokota nae kuni ndio utayeota nae moto”-Jerry Silaa

Pita njia yeyote ilimradi ufike uendako.
 
sidhani kama kalipia maana hata fedha ya kuchukulia fomu amechangiwa
Michango haina kiwango, maana yake pesa za maombi ziko humo humo kwenye michango, Makampuni ya simu hayawezi kushindwa bili ya mwamposa.

Nape aliwahi kusema nikipita huko kwenye makampuni ya simu siwezi kukosa hiyo pesa.
 
Ukonga mmekosa hata askari magereza mstaafu wa kuwawakilisha bngeni?
 
CCM wajanja wanaunganisha dini zote ,nyie wapumbavu mnawatuma vijana wa CHADEMA watukane dini fulani , mtaendelea kuvaa kombati zenu kama mgambo bila ya mafanikio.
 
Upuuzi wote unaanzia hapo, kwenye hao "wenyeviti wa mitaa".

Kuwadhiti hawa ndiko kunakotakiwa kulinasua taifa hili kwenye huu mnyororo wa utwana wanaoingizwa waTanzania.

Huyo mungu wa maigizo hivi ili abariki uhalifu kwa waTanzania atakuwa wamemtengeneza wao.
 
Huyo "Rais Mstaafu" ndiye amekuwa mkuu wa mashetani yanayolinyemelea taifa hili.
Baada ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Magufuli kuondoka aliyebaki ni Kikwete
Matarajio ya Umma ni Kikwete kuvaa viatu vya ''Baba wa Taifa'', Kwa masikitiko Kikwete ameshindwa

Baada ya kushindwa jukumu lake Kikwete anamshambulia ''statesman Warioba''
Kwa wanaomjua mwambieni Kikwete, atulie tunamlipia kodi na wajukuu zake! atuachie Taifa letu
 
natamani afe
 
Back
Top Bottom