sidhani kama kalipia maana hata fedha ya kuchukulia fomu amechangiwaAnafanyiwa maombi ya Sh Ngapi ?
Pita njia yeyote ilimradi ufike uendako.Waziri wa Mawasiliano na Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Silaa, amefanyiwa Maombi, kuombewa Dua na kuchangiwa Fedha ya kuchukua Fomu Jimboni ukonga
"Nawashukuru sana sana sana wenyeviti wa serikali za mitaa wa Tarafa ya Ukonga hususan Jimbo la Ukonga kwa upendo wao, kunichangia fedha za fomu, kunisalia ,kuniombea dua na kuniahidi kuniunga mkono.
Wamekumbuka tulivyopambana pamoja 2024 na kushinda mitaa yote 70 ya Jimbo la Ukonga.
Kauli mbiu yao, “unayeokota nae kuni ndio utayeota nae moto”-Jerry Silaa
Au sio ?sidhani kama kalipia maana hata fedha ya kuchukulia fomu amechangiwa
Michango haina kiwango, maana yake pesa za maombi ziko humo humo kwenye michango, Makampuni ya simu hayawezi kushindwa bili ya mwamposa.sidhani kama kalipia maana hata fedha ya kuchukulia fomu amechangiwa
Hili ndo jibu, naona wananunua maombi Hawa.Anafanyiwa maombi ya Sh Ngapi ?
Huyo "Rais Mstaafu" ndiye amekuwa mkuu wa mashetani yanayolinyemelea taifa hili.'' Wananchi msichanganye dini na Siasa'' -Rais mstaafu
Baada ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Magufuli kuondoka aliyebaki ni KikweteHuyo "Rais Mstaafu" ndiye amekuwa mkuu wa mashetani yanayolinyemelea taifa hili.
natamani afeBaada ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Magufuli kuondoka aliyebaki ni Kikwete
Matarajio ya Umma ni Kikwete kuvaa viatu vya ''Baba wa Taifa'', Kwa masikitiko Kikwete ameshindwa
Baada ya kushindwa jukumu lake Kikwete anamshambulia ''statesman Warioba''
Kwa wanaomjua mwambieni Kikwete, atulie tunamlipia kodi na wajukuu zake! atuachie Taifa letu